Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda?
Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya wachimbaji wetu wakimbilie uko na waache Tz?
Mbona niliona Serikali ilitengeneza refinery kule Mwanza na mama alienda kuizindua why now bado tunapeleka gold Uganda?

Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest source of imports in Africa
Almost half of Uganda's imports from within Africa are sourced from Tanzania, which is the second largest source of Uganda's imports after China