Uganda: Watu wawili wafariki baada ya ndege ya jeshi kuanguka

Uganda: Watu wawili wafariki baada ya ndege ya jeshi kuanguka

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watu wawili wamethibitishwa kufa baada ya ndege ya jeshi la watu wa Uganda kuanguka katika mji wa Gomba. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Uganda, Brigedia Brigedia Richard Karemire, amesema ndege ya jeshi AF 302 ilikuwa kwenye na watu hao kwenye mafunzo.

“Ilikuwa na watu wawili, hakuna aliyepona. Tunatoa pole kwa wafiwa na jeshi la wananchi wa Uganda,” aliandika hayo kwenye tweet yake mchana wa leo. Waliofariki bado hawajafahamika kwa majina na vyeo.
 
Back
Top Bottom