#COVID19 Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

Siwezi kuamini kama mods hawajui neno Genius linavoandikwa...
 
WaAfrica tunachekesha sana, yaani unapeleka watu lockdown wakati taifa lako zaidi ya 80% ni wachuuzi wanaotegemea kuche wakatafute chakula cha leo na wengine cha kesho..

Amakweli ujinga ni mali ya Africa, eti unawaweka lockdown wananchi masikini aisee huku Africa kweli kuna viongozi..Hao wananchi ni wakati sasa nao kufanya mapinduzi ya amani..
 
Niliweka Uzi humu kuhusu hatari ya kuweka sheria ya Lockdown kwenye nchi yenye watu wengi masikini,baadhi ya comments zikanibeza nikawaambia tusubiri tuone....sasa majibu ndio hayo yanaanza hiyo ni siku ya pili tu ktk siku 21 hatujashuhudia haya nchi za wenzetu wa ulaya na america
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wafanyaje, tuseme wewe ndiye kiongozi kwasasa ungefanyaje mkuu?


So njia bora ya kuwafanya hao wanaocheza cheza hapo majini ni kuwaua kwa bunduki ?

Hakuna njia bora ya kuwaadabisha hao wote au !!

Sikubaliani na wote wanaokwenda kinyume na hayo maagizo lakini sikubaliani na kuwapiga risasi hao watu, tutefute njia sahii za kuzuia hayo yasitokee.
 
Kukaa ndani maana yake ukubali kufa kwa njaa ukikimbia Korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…