Uganda yachukua tahadhari Ugonjwa wa Ebola

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Wataalamu wa afya wa Uganda wamesema wanachukua tahadhari kufuatia taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaosababisha kuvuja kwa damu mwilini.

Source: Citizen TV


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…