Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Uganda yadaiwa kusogeza mpaka na kuiba eneo la DRC 8km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M7 hapendagi amani[emoji28]
Mi nashauri hata sisi ikiwezekana tuvuke ziwa tuibe. Nchi kubwa sana ile.
Unaelewa maana ya kuiba?😀😀😀Nchi kubwa yako
Unaelewa maana ya kuiba?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu soma tena pale juu nilipozungumzia wizi.Utaibaje na hamna ardhi inayopakana na kongo?