Uganda yadaiwa kuiba Eneo la Congo KM8

Safi Sana museveni zogeza bikon had kivu kazikasini jamaaaa wale wapumbafu san
 
Angebeba yote tu
Viongozi wao wanauza nchi kama hawana akili aah hawana kweli
Unaleta wachina wanaiba magogo kila leo
Magogo yenyewe yana miaka zaidi ya 100 yanakatwa kila leo mpaka pawe jangwa
Congo ndio nchi yenye misitu karibia ya Amazon kuna sehemu hawajafika watu
Pole yao
Madini yanabebwa kila leo na huku wakiajiri mgambo wapiganaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…