Uganda yaingiza dola billion 1.3 kutokana na mauzo ya dhahabu

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye mapato makubwa yatokanayo na mauzo ya dhahabu.

Kampuni ya Africa Gold Refinery ina makazi yake mjini Entebbe, kilometer kadhaaa kutoka mji mkuu Kampala.

 
Uganda kuna Migodi ya dhahabu hiyo wanayochakata kiwandani inatoka wapi? Su ndo hiyo ya kutoka Congo?

Maswali ni mengi kwa kweli
 
Huku Tz Magu anafaa aendelee kubana sizitoke ovyo.Huko DRC sasa sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…