Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 758
Rais Museveni wa Uganda amelihutubia taifa na kusema kuwa tarehe 04 mwezi June shule zote za msingi, secondary na vyuo vitafunguliwa tarehe 04 June mwaka huu.
Bwana Museveni pia ameitaka wizara ya Elimu nchini humu kujitokeza hadharani kabla ya tarehe 04 ili kutoa mwongozo kamili wa masomo.
Tamko la Museveni limepokelewa kwa shangwe kubwa na waganda wengi .
Pia Museveni amesema atafungua usafiri wa umma tarehe 26.
Kwingineko dunuani tayari maelfu ya wanafunzi wameanza kurejea shuleni huku wakipewa elimu ya kujikinga huko huko shuleni .
Sources: Cruse FM of Uganda, Amka na BBC