Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu.
Taifa la Uganda linaloongozwa na Yoweri Museveni rasmi sasa limejiunga rasmi na BRICS kama moja ya nchi mshirika hivyo kuifanya Uganda kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kujiunga na Jumuiya hiyo
Kufuatia uamuzi huo, Uganda sasa inajiunga na Belarus, Bolivia, Cuba, Indonesia, Kazakhstan, Malaysia, Thailand, na Uzbekistan, nchi ambazo hivi karibuni pia zimepata nafasi ya kujiunga na jumuiya hiyo.
Uganda ilipitishwa kujiunga BRICS hivi karibuni kwenye mkutsno mkuu wa Jumuiya hiyo ambao ulifanyika huko Kazan smbapo Wizara ya mambo ya nje ya BRICS ilieleza katika taarifa yake kuwa
"Kuanzia tarehe 1 Januari 2025, Belarus, Bolivia, Cuba, Indonesia, Kazakhstan, Malaysia, Thailand, Uganda, na Uzbekistan zitakuwa Nchi Washirika wa BRICS. Nchi hizi imethibitisha utayari wao wa kupokea hadhi hiyo. Mialiko ya kuwa washirika imetumwa pia kwa nchi nyingine nne."
Ikumbukwe kuwa Jumuiya ya BRICS imeanzishwa kwa lengo la kutoa fursa kwa mataifa ya Kusini mwa Dunia kupaza sauti zao katika majukwaa ya kimataif na kupata mbadala wa kiuchumi dhidi ya Marekani na washirika wake.
"Kuongeza wanachama wapya ni kama tunafungua ukurasa mpya wa BRICS, lengo likiwa ni kutengeneza dunia ambayo ina usawa na haki katika jukwaa la kimataifa" alizungumza Putin akiwa anakaribisha nchi hizo mpya
Jumuiya hiyo ilianza na wanachama waanzilishi ambao ni Brazil, Urusi, India, na Uchina, kabla ya Afrika Kusini kujiunga mwaka 2010. Mnamo Januari 2024, Misri, Ethiopia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), na Iran pia zilijiunga rasmi na BRICS.
============================================================
Uganda has become the first East African country to officially joined BRICS (Brazil, Russia, India, China, and South Africa) as one of 13 new partner nations in a move set to reshape its international trade and investment prospects.
BRICKS a growing economic and geo-political global bloc which is seen as an alternative to the hirtherto –coercive and unfair trade relations of the global north.
By aligning with the BRICS alliance, Uganda is positioning itself to benefit from deeper economic ties with some of the world’s largest emerging markets.
Other nations joining as BRICS partners include Algeria, Indonesia, Turkey, Nigeria, and Vietnam, as the group seeks to expand its global influence and foster a more balanced, multilateral trade system.
The expansion is part of BRICS’ long-term strategy to challenge the dominance of Western-centric trade and financial institutions, promoting alternative economic pathways.
Source: Uganda Updates, SABC