comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Tanzania je? Tulimpigia kura?
Kama tulimpigia Balozi Amina wa Kenya basi vyombo vya habari Kenya havisemi wazi. Havitamki ya kuwa "Tunashukuru ndugu zetu wa Tanzania walitukumbuka na kutuunga mkono". Kauli hiyohaisikiki kabisa. Daah!Tulimpigia mara mbili round zote wale je parle's france waliwafuata ndugu zao mpaka
N'Djamena