Uganda yaomba Kenya msaada wa kusaka mkopo kutoka kwa Wachina kwa ajili ya SGR

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi majuzi marais Museveni na Uhuru walikutana na kukubaliana mambo mengi, ikiwemo kuhakikisha ujenzi wa reli ya Malaba hadi Kampala na ya Naivasha-Kisumu-Malaba zitajengwa kwa wakati mmoja na kwa pamoja.

Hivyo Uganda imeandikia balozi wake wa Kenya na kutoa nakala kwa balozi wake wa China kwamba waishawishi Kenya ikubali kwenda nao kufanya mazungumzo ya pamoja kwenye kuomba huo mkopo.

Wakati haya yote yanatendeka, ikumbukwe ujenzi wa safu ya pili ya SGR (Nairobi-Naivasha) umeshika kasi, ilhali safu ya kwanza (Mombasa-Nairobi 480km) sasa ni historia, treni zinachana mbuga kwa mwendo kasi.
Leo hii Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na hata Tanzania Kaskazini ambao wanategemea bandari ya Mombasa wamefupishiwa mwendo kwa kilomita 500km.

Pia kuna pendekezo la kukarabati reli ya kutokea Nairobi hadi Nanyuki na hapo ivutwe kwenda isiolo na hatimaye itue Ethiopia.

--------------------------------------------------------

Ugandan and Kenyan authorities are pushing for joint negotiations for the funding of the standard gauge railway, The EastAfrican has learnt.

Kampala, whose application to China’s Export and Import (EXIM) Bank is highly dependent on the treatment of Kenya’s application for funding of the different sections of the railway, has now asked Kenya for a joint mission to Beijing to meet officials of the bank to expedite the financial closure for the two countries’ multibillion-dollar projects.

The projects relate to the remaining sections: Naivasha-Kisumu-Malaba on the Kenyan side and Uganda’s 273km long Malaba-Kampala line that will cost $2.3 billion.

Officials in Kampala are banking on Kenya agreeing to the proposal of joint negotiations so that the teams can travel to Beijing to conclude financing details.

“We hope to go this month,” said Uganda SGR project co-ordinator Kasingye Kyamugambi.

The EastAfrican has seen a letter to Uganda’s High Commissioner to Kenya, dated January 5, 2018, proposing that the High Commissioner requests Nairobi for a “joint Uganda-Kenya engagement of the Chinese authorities and Exim Bank on the Standard Gauge Railway.”

Related Content
The tone of the letter — signed by John L. Mugerwa on behalf of the Permanent Secretary of Uganda’s Ministry of Foreign Affairs — is in line with the meeting of presidents Yoweri Museveni and Uhuru Kenyatta on December 19, 2017 at State House, Nairobi, that proposed the Naivasha-Kisumu-Malaba and Malaba-Kampala legs of the SGR should be done concurrently.

During that meeting, the two heads of state also agreed to fast-track these sections by synchronising the financing and construction, and the two countries’ ministries of Transport followed this up by signing an agreement to this effect.

READ: Kenya and Uganda to collaborate on SGR

Construction of the $1.5 billion Nairobi-Naivasha leg is ongoing, leaving the sub phases of Naivasha-Kisumu and Kisumu-Malaba in Kenya and Malaba-Kampala on the Ugandan side for fast-tracking.

In the letter, also copied to Uganda’s ambassador to Beijing, Mr Mugerwa says Kampala wants to meet with the SGR financiers to “reiterate the commitment of both countries” as it is hoped that this visit would thrash out financing details and pave way for “timely implementation of the remaining sections and resolve any outstanding technical issues.”
Mr Mugerwa’s docket is to co-ordinate with ministries, departments and agencies to ensure timely implementation of the Northern Corridor Integration Projects (NCIP), which includes infrastructure like the SGR and energy interconnection.

By the time we went to press, the Kenyan High Commission had not responded to our questions on whether Nairobi had agreed to the proposed joint mission to Beijing.

However, in a previous interview, Kenya Railways managing director Atanas Maina said Kenya was yet to submit funding proposals for the Kisumu-Malaba section of its SGR as the government felt it needed to first finish the Naivasha-Kisumu phase.

Kampala is desperate to get the deal over the line so that construction of the Malaba-Kampala SGR phase can start, even as officials say that depending on other requirements that the Chinese might demand, the planned joint visit to Beijing may not guarantee financial closure.

Uganda seeks joint China talks with Kenya on SGR
 
Watu wa TAZARA hawawezi kuelewa mambo haya hata kidogo, yani Northern Tanzania inategemea port ya Mombasa kivipi ilhali dar port ipo ama ni miundo mbinu ovyo? SGR Tz is fast turning into a white elephant.
 
Watu wa TAZARA hawawezi kuelewa mambo haya hata kidogo, yani Northern Tanzania inategemea port ya Mombasa kivipi ilhali dar port ipo ama ni miundo mbinu ovyo? SGR Tz is fast turning into a white elephant.
imepunguza km 500 kivipi? Nikiagiza container kutoka Guangzhou to Mombasa nitalichukua Nairobi at the same price as it used to be in Mombasa?
 
imepunguza km 500 kivipi? Nikiagiza container kutoka Guangzhou to Mombasa nitalichukua Nairobi at the same price as it used to be in Mombasa?
Umepunguziwa wear and tear and most important time which is money. Rudi shule uregeshewe karo uje nayo nikufunze simple economics 101.
 
Umepunguziwa wear and tear and most important time which is money. Rudi shule uregeshewe karo uje nayo nikufunze simple economics 101.
LIKE, MY CONTAINER WILL WEAR AND TEAR HUH? YOU BOGUS AF!
 
vizuri.....waharakishe sasa ili rli ifike DRC...sio kupoteza muda ilhali kazi bado nyingi
 
Hivi kati ya Kenya na Uganda nani ana wakati mgumu kwa hiyo SGR?
 
Hivi kati ya Kenya na Uganda nani ana wakati mgumu kwa hiyo SGR?
Uganda wanahitaji Kenya zaidi Kwenye huu mradi than the other way round sababu kuu ni kuwa southern corridor is a big white elephant.
 
vizuri.....waharakishe sasa ili rli ifike DRC...sio kupoteza muda ilhali kazi bado nyingi
Tushachukua great lakes including Northern Tanzania watani wetu tumewaachia TAZARA Wai upgrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…