Employment, technology transfer,
Tax free zone, mfano uarabuni inafanya investments zije kwa wingi sana, indirectly hiyo inachochea ukuaji wa uchumi na productivity,
Mama ntilie watauza chakula, wafugaji watauza nyama sana, wakulima watauza sana viazi, mchele, tomatoes, michicha, etc
In return productivity ina increase
Mi huwa najiuliza sana..
Mnawapa watu kazi ya kuchapisha hela halafu wanajifanya kuwakopesha..kumbe na wao wamechapisha za kwao halafu ndio wanawakopesha.Afrika tunatakiwa tutumie Dola tu..ndio tutanusurika na hili.