Uganda yasema haitishwi na vikwazo

Uganda yasema haitishwi na vikwazo

Patrick Elias

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
332
Reaction score
108
Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu mapenzi ya jinsia moja.

Mwandishi wa BBC mjini Kampala, Isaac Mumena anasema kuwa Balozi Mugume ameelezea kuwa serikali ya Uganda hata hivyo itafanya mazungumzo na Marekani ili kufafanua hatua waliyochukua.

Amesisitiza kuwa wataieleza Marekani sheria hiyo inapinga tabia ambayo sio ya kiafrika na maadili ambayo hayakubaliki katika jamii nyingi za kiafrika.

Serikali imesisitiza kuwa vikwazo hivyo havitakuwa na athari kubwa kwa nchi hiyo na pia imekanusha madai ya mashirika ya kijamii kuwa tayari sheria hiyo imechochea ongezeko la dhuluma dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.

Vikwazo vyenyewe ni pamoja na kufutilia mbali msaada wa kijeshi, kuwapiga mrufuu baadhi ya maafisa wa serikali kusafiri nje na kupiga tanji mali zao.

Maandamano kupinga mapenzi ya jinsia mopja na kumpongeza Rais Museveni kuwa kupitisha sheria hiyo
Kadhalika msemaji wa serikali Ofwono Opondo amenukuliwa na shirika la habari la AFP akisema kuwa wananchi wa Uganda wanafahamu kuwa hawatategemea tena msaada wa nchi za Magharibi

Sheria hiyo iliyotiwa saini na Rais Yoweri Museveni mwezi Februari inasema kuwa wanaopatikana na hatia mara mbili ya kuhusika na mapenzi ya jinsia moja watafungwa maisha jela.

Sheria hiyo pia inaharamisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja pamoja na kuwataka wananchi kuwashitaki watu wanaohusika na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa maafisa wakuu.

Ikulu ya White house imelaani sheria hiyo ikisema kuwa inakwenda kinyume na uhusiano kati ya nchi hizo ikitoa wito wa sheria hiyo kufutuliwa mbali.

Waziri wa mambo ya nje John Kerry, amefananisha sheria hiyo na sheria za utawala wa zamani wa kinazzi nchini Ujerumani.
 
Hapo kwenye bold mbona kama wameogopa...wanajikanganya...

Ukiamua kukomaa komaa kweli kweli...siyo sitaki nataka...

Kwa muoga uenda kicheko...
 
Unajua mie nashindwa kuzielewa hizi nchi za Afrika kwa jinsi zinavyoshupalia sana suala la ushoga, hadi kukosana na haya mataifa na kusema hata misaada wanayoitaka sana basi. Binafsi ushoga naupinga kwa msimamo thabiti wa kidini, lakini sintakuwa wa kwanza wala wa mwisho kumtupia jiwe mtu aliye shoga.

Sasa ninachojiuliza, kwani hawa mawaziri wanaopigia kelele ushoga kwa nguvu zote, wasipoweka sheria ya ushoga nchini wataombwa au kuliwa wao na hao mashoga? Hawa mawaziri wanawaogopa mashoga? Kwa nini kwa mfano, hatushupalii uchangu doa kama vile tu ushoga, ina maana uchangu doa ni halali?

Kuna mambo mengi ya faida kubwa yanayotaka tuyashupalie kwa sheria kali kama kunajisi watoto wadogo, kuuwawa kwa albino, rushwa, ujangili, madereva walevi, wizi wa hela za umma, ukosefu haki katika ajira nk, lakini sie tumeshupalia ushoga utafikiri tumeambiwa wazungu wanataka kuja kutufanya kitu mbaya nyuma. Kisa ni nini hasa? Waache mashoga wajiue kwa raha na mashoga wenzao, kwani sisi tusio mashoga inatuhusu nini?
 
Gazeti la Red Cross lilichapisha majina ya
watu wanaoshukiwa kuwa wapenzi wa jinsia
moja baada ya sheria kupitishwa
Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa
Uganda, Balozi James Mugume, amesema
kuwa Uganda haitishwi na vikwazo
ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya
kupinga sheria yake kali kuhusu mapenzi ya
jinsia moja.
Mwandishi wa BBC mjini Kampala, Isaac
Mumena anasema kuwa Balozi Mugume
ameelezea kuwa serikali ya Uganda hata hivyo
itafanya mazungumzo na Marekani ili
kufafanua hatua waliyochukua.
Amesisitiza kuwa wataieleza Marekani sheria
hiyo inapinga tabia ambayo sio ya kiafrika na
maadili ambayo hayakubaliki katika jamii
nyingi za kiafrika.
Serikali imesisitiza kuwa vikwazo hivyo
havitakuwa na athari kubwa kwa nchi hiyo na
pia imekanusha madai ya mashirika ya kijamii
kuwa tayari sheria hiyo imechochea ongezeko
la dhuluma dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
Vikwazo vyenyewe ni pamoja na kufutilia
mbali msaada wa kijeshi, kuwapiga mrufuu
baadhi ya maafisa wa serikali kusafiri nje na
kupiga tanji mali zao.

"Maandamano kupinga mapenzi ya jinsia
mopaja na kumpongeza Rais Museveni kwa
kupitisha sheria hiyo yamekuwa yakifanyika sehemu mbalimbali nchini Uganda."

Kadhalika msemaji wa serikali Ofwono Opondo
amenukuliwa na shirika la habari la AFP
akisema kuwa wananchi wa Uganda
wanafahamu kuwa hawatategemea tena
msaada wa nchi za Magharibi
Sheria hiyo iliyotiwa saini na Rais Yoweri
Museveni mwezi Februari inasema kuwa
wanaopatikana na hatia mara mbili ya
kuhusika na mapenzi ya jinsia moja
watafungwa maisha jela.
Sheria hiyo pia inaharamisha vitendo vya
mapenzi ya jinsia moja pamoja na kuwataka
wananchi kuwashitaki watu wanaohusika na
vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa
maafisa wakuu.
Ikulu ya White house imelaani sheria hiyo
ikisema kuwa inakwenda kinyume na uhusiano
kati ya nchi hizo ikitoa wito wa sheria hiyo
kufutuliwa mbali.
Waziri wa mambo ya nje John Kerry,
amefananisha sheria hiyo na sheria za
utawala wa zamani wa kinazzi nchini
Ujerumani.

Chanzo: BBC
 
kama mapenzi ya jinsia moja ni mazuri mbona hao marais wa marekani na wingereza hawajaolewa na wanaume wenzao,watuache waafrika na tamaduni zetu,eboo!
 
Mimi pia nilikuwa na msimamo mkali; ila nimekuja gundua ni nonsense...kupumbaza wananchi kuwaondolea umakini kwenye masuala nyeti kama ya rushwa...

Mbona wanakana kuwa hakuna aliyeathirika na hiyo sheria? utadhani imetungwa kama urembo; mradi kuna sheria

Afu nimeangalia documentary moja juzi kati nikaanza kujiuliza mara mbili...what if mwanao anakuwa shoga utamuua????? Utamkabidhi kwa serikali wamfunge kama wanavyosema Nigeria...

Nadhani yakitukuta ndio tutajua ushabiki ni nini...

Back
Top Bottom