Uganda yatangaza kufungua anga na kuruhusu safari za ndani na nje kuanzia Oktoba 1

Uganda yatangaza kufungua anga na kuruhusu safari za ndani na nje kuanzia Oktoba 1

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Takriban miezi 5 baada ya kuzuia safari za ndege za abiria ili kudhibiti maambukizi ya CoronaVirus, Uganda itafungua Uwanja wa Kimataifa wa Entebbe na kuruhusu safari za ndani na nje

Hatua hiyo ni mfululizo wa jitihada za Serikali ya Rais Yoweri Museveni kulegeza masharti na kufufua uchumi ulioathirika vibaya kutokana na mlipuko huo

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini humo (UCAA) imesema ndege 13 zimeruhusiwa kuingia na kutoka kwa siku ya kwanza na 10 zitafanya safari siku ya pili

Miongoni mwa Mashirika yanayotarajiwa kufanya safari ni pamoja na Uganda Airlines, Air Tanzania, Kenya Airways, Emirates, RwandAir na KLM

====
International commercial passenger flights return to Uganda’s Entebbe International Airport on October 1, 2020, ending at more than five months of lockdown occasioned by the Covid-19 pandemic.

The Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) in a September 8 letter to airlines' executives said that 13 flights, to and from the airport have been cleared for the first day, while 10 flights are confirmed for the second day. The letter is signed by Sooma Ayub, the UCAA director for Airports and Aviation security.

Airlines expected to resume flights in Uganda include the national carrier Uganda Airlines, Kenya Airways, Qatar Airways, Air Tanzania, Ethiopian Airlines, FlyDubai, RwandAir, KLM, Turkish Airlines, Emirates, Brussels Airlines, and Tarco Aviation.

The UCAA says the reopening will see the number of flights handled at the airport increasing gradually. The regulator also gave details of a revised weekly flight schedule for the first phase of the reopening which runs for three months.

The UCAA had asked for $40 million to prepare the airport for reopening.

Entebbe International Airport was closed to passenger traffic since March except for evacuation and repatriation flights and cargo. The closure hit hard sectors like tourism which rely on aviation.
 
Back
Top Bottom