Uganda yatangaza ongezeko la Wagonjwa 23 wa Corona. Watanzania 2 na Wakenya 8 warudishwa nchini mwao

Uganda yatangaza ongezeko la Wagonjwa 23 wa Corona. Watanzania 2 na Wakenya 8 warudishwa nchini mwao

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda

Katika ya Wagonjwa wapya, watano ni miongoni mwa sampuli 1,308 zilizopimwa katika maeneo ya mpakani na 18 ni miongoni mwa sampuli 911 zilizopimwa kwa watu walioonesha dalili au waliokuwa wanafuatiliwa

Aidha, Jumla ya Madereva 13; Kenya 8, Tanzania 2, Burundi 1, Eritrea 1 na Rwanda 1 wamekutwa na #CoronaVirus na kurudishwa nchini mwao

EbLqsxHXkAAod1K.jpg
 
Tanzania Covid tumetangaziwa haipo,nashangaa hapo wamepatikana 2
 
Back
Top Bottom