Uganda yathibitisha mlipuko wa Ebola, muuguzi afariki dunia

Uganda yathibitisha mlipuko wa Ebola, muuguzi afariki dunia

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wizara ya Afya nchini Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Alhamisi, Januari 30, 2025 imeelezea kuwa tukio la kwanza ni muuguzi mwenye miaka 32 kutoka Hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Mulago, alifariki dunia baada ya kuonyesha dalili kali za ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo, muuguzi huyo, ambaye alikuwa akifanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Mulago, alianza kuonyesha dalili kama za homa na alitafuta matibabu katika vituo kadhaa vya afya, ikiwa ni pamoja na Mulago, Hospitali ya Saidina Abubakar Islamic huko Matugga na Hospitali ya Rufaa ya Mbale jijini Mbale.

===============================================================

Uganda has confirmed an outbreak of the Ebola virus in the capital Kampala with the first confirmed patient dying from it on Wednesday, the health ministry said on Thursday.

It is the East African country's ninth outbreak since it recorded its first infection of the viral disease in 2000.
The patient, a male nurse at the Mulago National Referral Hospital in Kampala, had initially sought treatment at various facilities, including Mulago, as well as with a traditional healer, after developing fever-like symptoms.

"The patient experienced multi-organ failure and succumbed to the illness at Mulago National Referral Hospital on Jan. 29. Post-mortem samples confirmed the Sudan Ebola Virus Disease (strain)," the ministry said in a statement.
Forty-four contacts of the deceased man have been listed for tracing, including 30 health workers, the ministry said.

However, contact tracing could be challenging as Kampala, where the latest Ebola infection cropped up, is a crowded city of over 4 million people and a crossroads for traffic to South Sudan, Congo, Rwanda and other countries.

The highly infectious hemorrhagic fever is transmitted through contact with infected bodily fluids and tissue. Symptoms include headache, vomiting of blood, muscle pains and bleeding.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom