Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Kaa ukijua kila taifa lina mashushushu wake nchi nyingine kwa kazi maalumu iliyokusudiwa, kwa nchi zinazopakana ni kawaida, hata tz ina mashushushu wake nchi walizokusudia kupata taarifa kusudiwa,
Haya ndo maisha!!
 
Hii habari nimeona kwa kifupi kwenye tv kwamba Museveni amegoma kuudhuria mkutano wa mambo ya uchumi utaofanyika nchini Kigali
Hahah Museveni aangalie,asije akatolewa hapo ikulu na PK kichwa chini miguu juu
 
Usiwe mwepesi wa kutekwa na maigizo ya mashosti wawili. Museveni - Kagame - Kabila ni umoja imara usioyumba. Wenye ufahamu tunaelewa lengo la kiini macho hicho.
 
Hahaha!! Kabisa mkuu.

Niliona clouds habari nikashangaa sana. Wakati ni watu walikuwa karibu sana
 
Kaa ukijua kila taifa lina mashushushu wake nchi nyingine kwa kazi maalumu iliyokusudiwa, kwa nchi zinazopakana ni kawaida, hata tz ina mashushushu wake nchi walizokusudia kupata taarifa kusudiwa,
Haya ndo maisha!!
Kweli Mkuu
 
Hahaha!! Kabisa mkuu.

Niliona clouds habari nikashangaa sana. Wakati ni watu walikuwa karibu sana
Hahah hao jamaa hata sijawahi kuelewa kama kweli ni washkaji au wanachorana tu.

Wao kugombana na kupatana ni sehemu yao ya maisha hahah.
 
Usiwe mwepesi wa kutekwa na maigizo ya mashosti wawili. Museveni - Kagame - Kabila ni umoja imara usioyumba. Wenye ufahamu tunaelewa lengo la kiini macho hicho.
Bila shaka hufahamu kama walishawahi kupigana kongo huyo Mseveni na Kagame mpk wakaenda kusuluhishwa na Malkia Elizabeth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…