Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Hahah hao jamaa hata sijawahi kuelewa kama kweli ni washkaji au wanachorana tu.

Wao kugombana na kupatana ni sehemu yao ya maisha hahah.
Kwani walishawahi kugombana uko nyuma?
 
Bila shaka hufahamu kama walishawahi kupigana kongo huyo Mseveni na Kagame mpk wakaenda kusuluhishwa na Malkia Elizabeth.
Hujui kinachoendelea. Endelea kuamini maigizo
 
Sisi tunawapokea mkuu, kitakachotokea ni mpango wa Mungu bora Uganda wameshtuka
 
magufuli hasiwaendekeze sana hawa watu. si watu wazuri hata kidogo
 
Magazeti ya rwanda na ya uganda yamekuwa yakilaumiana kwa jambo hilo wiki moja iliyopita.ulitaka tuongelee tusiyoyaona?sisi sio malaika hatuwezi jua kama ni maigizo au la wewe unayeona ya rohoni tujuze
Anzia hapa; Kagame aliingiaje ikulu ya Rwanda. Mengine utajaza mwenyewe, tena si mambo ya kiroho
 
vipi kuhusu kuhusishwa kwa na kifo cha mchungaji mtikila? kuna ukweli wowote.
 
Kwa hiyo unadhani huko Rwanda hakuna spy wa Uganda,hayo mambo ni kawaida tu kwa nchi zote
wapo, hata rwanda wapo tz hata TZ ndo wengi sana rwanda. Kama Tanzania tungeamua kumteka kagame ni siku moja tu mchezo unaisha
 
Hahah Museveni aangalie,asije akatolewa hapo ikulu na PK kichwa chini miguu juu
Sahau hilo huyo jamaa mnampaishaga kila nnchi imejipanga na sio kwamb kagame anapawa sana hadi ya kumtoa rais mwingne kwenye nchi yake hyo africa bado
 
Baada ya kushinda vita na Marekani mwaka c1975, Vietnam aligombana na majirani wake wote; Laos na Cambodia na kusumbua sana kipindi hicho huko South East Asia. Kisha akamshambulia mchina kwa jeuri hiyo. China alijibu akamtandika Vietnam katika vita ya siku 3 hivi ambapo kila siku walikuwa wanakufa jumla ya watu 50000 pande zote. Vietnam akasalimu amri. China akasema nimemfundisha adabu. Vietnam alisahau kuwa ni China na Urusi ya Kisovieti, ndio waliomsaidia kushinda vita ile. Hakurudia tena mambo ya vita. Akageukia uchumi.Kwa hiyo ikiwa ni kweli ngoja utasikia mambo huko maziwa makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…