Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

Sahau hilo huyo jamaa mnampaishaga kila nnchi imejipanga na sio kwamb kagame anapawa sana hadi ya kumtoa rais mwingne kwenye nchi yake hyo africa bado
Hahah kwani hujui huyo alikua ni Chief of Military Intelligence(CMI) wa jeshi la Museveni hapo Uganda.

Hivi rais wa Congo Mobutu Sese Seko alitolewa na wakina nani madarakani.
 
hao mashushu warembo wa rwanda waje tu kwa wingi watupeleleze, tutawal*mba na hawapati chochote cha maana bongo hapa njaa kali tu. Mwisho wa siku watashangaa tunawapeleleza wao ndio watajua wabongo hatuna mchezo. PK zidisha kuleta warembo hao kwa fujo ndio tunawataka watupeleleze tena nataka kila siku aje mrembo mpya wa kinyarwanda anipeleleze
 
Mpaka TISS?!
Kwa kigezo gani halafu, kwamba wameshakuwa raia ama?!
Kuna shida kwenye mfumo wetu wa ulinzi/intelligence ingefaa ufumuliwe wote uundwe upya hasa hiyo TISS.

Hao si wanakua mapandikizi,mfano unaweza kuta hata Rais wa nchi fulani sio Raia wa nchi hiyo Ila pandikizi la nchi nyingine kawekwa pale kwa maslahi yao.
 
Mkishiba mnaongeaga tu!!..
 


Exactly, kuna shida huko kwenye vitengo nyeti tena sio ndogo.
Wenzetu walioendelea na wanaojielewa vizuri hawana mambo ya ajabu kiasi hiki.
Mtu akipata uraia wa nchi husika halafu wakawa interested na siasa na kufika mbali kisiasa basi ataishia sana sana kuwa mkuu wa mkoa.

Kwenye Intelligence/ TISS yao ndo kabisa!
Sidhani hata kama wanachukua naturalized citizens.
 
Kweli kabisa... Nakubaliana na ww 100%
 
Pk na watutsi wenzake wamejipanga pale japo ni wachache zaidi ya wahutu,hlf ni nchi 1 ya kijinga sana,mtawala akiwa mtutsi wahutu wanaishi kimashaka mashaka,watutsi ndio wanakula bata,na akitawala mhutu watutsi ndio ukimbia kbs nchi yao!
Wangekagawanyisha tu pasu kwa pasu kila kabila lichukue ka kipande kake tu,hahah nazingua mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…