Ugandan Tycoon Relocates Aircrafts to Kenya Following Delay of Issuance of License

Blah blah blah, uvivu ni kama laana. Siku saba zinatosha kufanya kila aina ya ukaguzi, siku mkiamka muanze kuchapa kazi kama watu ambao wanajitambua ndio utaelewa haya yote nayoyasema.
 
You want Uganda to be ruled like Kenya?? Thats the mentality which was developed by Americans among Africans. In the real world there is no democrasy. For how long has queen elizabeth been in power...? They are countrires which can never be ruled through democrasy and Uganda is one of them. History shows that.
At one time Ugandans wanted federal government. Uganda has kingdoms just like Libya. Today Gaddafi is gone and Libya is no more. Kila nchi duniani inamisingi tofauti ya uwongozi na kunajinsi yakuiyongoza. Urusi imewashinda viongozi wengi kuiyongoza isipokuwa Puttin... Sio kila mtu ana kalama yakuongoza.
 
Kweli Mkuu..
Hiyo midikteta hapo East Africa lazima ipigwe vita kwa nguvu zote..
Ipo kama mi 3 hivi.
Tatizo lenu mnapenda kushugulika na matatizo ya nchi nyingine nakuacha ya nchi yenu... No dictator in East Africa. We have real leaders. Kama ni ma dictator basi nima dictator wa mfano wakuigwa Africa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo lenu mnapenda kushugulika na matatizo ya nchi nyingine nakuacha ya nchi yenu... No dictator in East Africa. We have real leaders. Kama ni ma dictator basi nima dictator wa mfano wakuigwa Africa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mchumishwa mboga cheza tu na Congo ama Bongo...Nyang'au huwezani nasi.
 
Blah blah blah, uvivu ni kama laana. Siku saba zinatosha kufanya kila aina ya ukaguzi, siku mkiamka muanze kuchapa kazi kama watu ambao wanajitambua ndio utaelewa haya yote nayoyasema.
Hakuna laana kubwa zaidi ya tribalism, inaendelea kuwatafuna na haitokaa imalizike.
 
It has nothing to do with Kenya or America. There are a variety of systems of governance tried and successfully practiced world over. Every country has a right to choose from what it believes best fits her citizens. All this systems are not perfect cause each one of them has its advantages and disadvantages, it's only dependent on how the chosen system is effectively executed. So as a leader, when you decide to base your governance on any of them execute it to the latter but not partially. Avoid interfering with it to suit your own interests, and by doing so, you'll be regarded as a good leader.
 
just know in real world there is no democrasy... " democrasy" is a term which is to be used as a loop hole to start war in any given country especially for Asian and African countries by Americans and Europeans. Do you know China has extended the term of Xin jinping, at the moment the fact is that he can rule China forever. Why not say China has no democrasy?? Wake up my young brother.
 
You might be having some truth but let's talk Uganda. Lets forget about democracy. But at least we understand that their exist something like governments and with them comes the adoption of either capitalism or communism. Let's even forget that also. Think of individual governments with their respective constitutions. These constitutions are meant to dictate the way governance should be executed. How do you explain these individuals who manipulate it to suit them best regardless of public outcry?. Why does one wants to cling to power?. Can we celebrate such fellers just because democracy does not exist?
 
Yule dictator ninae mkubali Africa ni kagame,Rwanda ameitoa mbali na ataipeleka mbali.
 
Kenya does not know how to deal with dictator museveni and dictator Kagame...That is why JPM keeps winning contracts, he know how to please dictators and get economic value out of it..
JPM himself is not a dictator and will be out of office 2025
 
MK254 nakusalimu baada ya muda mrefu kupita. Habari za siku nyingi!

Dah! kaka hivi bado upo, umeadimika siku nyingi, tupo tunaliendesha gurudumu la JF maana pesha za maisha huwa inabidi tunakua na sehemu ya kuja kushangaa shangaa mijadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…