Ugandans Agree That Nairobi is way Better than Kampala

Yaan hizo comments za Waganda sits kwenye post moja ndo uje u conclude kwamba eti Dar haijatajw basi ndo si kitu...

Amini ya kwamba kwa Eastern Africa ni cities 2 tuu ndo zinatamba

Nairobi and Dar es Salaam basiii

Huyo Kigali na Kampala hawawezi kuwapata Dar na Nai labda miaka hiyoo...
 
Hilo daraja linalopita baharini tunalo tayari, na tunajenga jingine tena salander bridge.

Skyscrapers ndio tunazo zakutosha Nonsense
Me ndo nashangaa huo uzuri wa Maputo ni
kwasababu ya hilo daraja tuu

Af at the same time Dar kuna daraja la Kigamboni ambalo ni same to hilo

Wakati huohuo Salender bridge linajengwa, hawa wakenya wanataka kusema nin hawaa!!
 
EA ni Nai na Dar tuu, hao wengine wababaishaji tuu

Kampala huwezi hata kujaribu kufananisha Dar na Nai, NEVER....
 
Maputo nini weweee....

Wareno chotara wale si kitu mbele ya Dar, heb acha zako ww
Wakiwashinda wanakuwa wareno chotara?? Dar is sluum is only famous in Tanzania/JF hata watu wengi wanafikiri ni mkoa hapa Kenya au Kijiji chakuvulia samaki Pwani ya Kenya.
 
Wakiwashinda wanakuwa wareno chotara?? Dar is sluum is only famous in Tanzania/JF hata watu wengi wanafikiri ni mkoa hapa Kenya au Kijiji chakuvulia samaki Pwani ya Kenya.
Haha Nairobi inafahamika na nn Kwan?[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanajua kuna Kenya hawajui hata Nairobi Ni kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…