Kwani Idd Amin alitufanya nn?Watakuja hapa waseme kila mtu alipona na kufukiza is truly working, na uganda wanaleta tu chuki, watawafanya kama iddi amin
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasikilize ni kawaida ukikaa kimya wapo watakaokusemelea! Huwa hawakosekani wenye shipa la uongeaji na vilevile wenye shipa la kutoongea!..Sasa hivi nchi jiran ndo wanawatangazia visa Tanzania,serikali IPO likizo chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Ur the true son of Ur fatherMgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
Umenena vyema mkuuMgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
Kwamba inashindikana auMgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa
Huyo mange, yule ngurumo, etc, kama unawafuatilia na kuwaamini, nikupe pole in advanceHuyu hapa watasema amelala, hapo lumumba drive juu ya kutafuta helaView attachment 1432100
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri yeye analeta proof, wewe unaleta nini?Huyo mange, yule ngurumo, etc, kama unawafuatilia na kuwaamini, nikupe pole in advance
Hii picha photoshop ukiangalia vizuri pale kwenye kioo utaona baada ya nguzo kuna kama bars nyeupe zimening'inia sasa jiulize ni nn zile out of place kwenye grill za ukuta? Kingine baada ya huo mwili ukuta unafuata ila cha ajabu tunaona dalili za kioo kikionyesha reflection! Huyu Mange aangalie ujinga anaofanya haujakaa poa!Huyu hapa watasema amelala, hapo lumumba drive juu ya kutafuta helaView attachment 1432100
Sent using Jamii Forums mobile app
Geza sipicha ni video, and the road has been cordoned off, ni screenshot tu nimetumaHii picha photoshop ukiangalia vizuri pale kwenye kioo utaona baada ya nguzo kuna kama bars nyeupe zimening'inia sasa jiulize ni nn zile out of place kwenye grill za ukuta? Kingine baada ya huo mwili ukuta unafuata ila cha ajabu tunaona dalili za kioo kikionyesha reflection! Huyu Mange aangalie ujinga anaofanya haujakaa poa!
Ni noma son ya mwenye tawfiq pia alipass, beshte yangu ako moshi anasema alicheki watu wawili walicollapse na mpaka saii gover haiku announce their death,hii kitu hawawezi fichaWooooiiii...yamefikia kiwango hiki....
Ni noma son ya mwenye tawfiq pia alipass, beshte yangu ako moshi anasema alicheki watu wawili walicollapse na mpaka saii gover haiku announce their death,hii kitu hawawezi ficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni noma son ya mwenye tawfiq pia alipass, beshte yangu ako moshi anasema alicheki watu wawili walicollapse na mpaka saii gover haiku announce their death,hii kitu hawawezi ficha
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa kaka! tumekuskia.Mgonjwa anaendesha IT hadi Uganda. Hata mimi siwezi kutangaza upuuzi kama huo. Mabeberu wanatengeneza hofu ili mkakope kwa shugjuli isiyokuwa na maana. Kama kuna umuhimu wa kutangaza wagonjwa naomba itoke na idadi ya wenye ukimwi, malaria, kansa na magonjwa mengine kila siku. Hili beat la kichina tuwaache wakenya wacheze sisi tunamatatizo mengi ya kudeal nayo sio haya ya kutengenezwa