Ugatuzi umepunguza idadi ya Wakenya maskini hadi 36%

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tunakwenda tu wadau, hili la kuhakikisha kila gatuzi au jimbo linajiamlia bajeti yake na matumizi na vipau mbele vyake linaipeleka nchi kunakofaa.

The proportion of Kenyans living in poverty has fallen by 10.5 percentage points in a decade, to 36.1 percent, the statistics office said on Thursday.

The Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) attributed the drop to economic expansion and devolution of resources to local authorities.

The economy of the East African nation grew an average 5.2 percent a year between 2006 and 2016, helping to boost real per capita GDP by 2.3 percent a year, the office said in a report.

This helped lower the proportion of those living below the poverty line, defined as monthly consumption of less than 3,252 shillings ($32.25), to 36.1 percent in 2015/16 from 46.6 percent in 2005/6.

"The significant improvement in the living standards of majority of Kenyans is attributable to government's investments in infrastructure and social sector," said Finance Minister Henry Rotich.

There were 16.4 million people below the poverty line at the time of the survey, KNBS said, down from 16.6 million a decade earlier - when the population was 10 million people lower.

In 2010, Kenya created a second layer of government in the shape of 47 counties. The so-called devolution is intended to promote development in rural areas, since the counties are allocated a minimum of 15 percent of the budget every year.

Extreme poverty, defined as monthly household expenditure below 1,954 shillings in rural areas and 2,551 shillings in urban areas, fell from 19.6 percent in 2005/6 to 8.6 percent in 2015/16.

Robert Shaw, a Nairobi-based economist, cautioned that the reduction in absolute poverty "doesn't mean that the standard of living for the majority of the people has improved significantly".

Kenya's poverty rate drops sharply in 10 years -stats office
 
So sour with Kenya you are mate
Ingependeza kama unge mjibu kwa hoja.. Yeye ameleta numbers kutoka KNBS, wewe una attack personality yake. Kenyans you should pull up your socks when engaging others
 
Latest survey reveals unemployment crisis facing the country
Mkikuyu-Akili timamu, ndiye mkenya mwenye kutumia akili sana katika kujenga hoja, waliobaki wote ni ushabiki tu. Someni hii report iliyotolewa na hao hao waliosema umasikini umeshuka hadi 36%. Katika hii ripoti wanasema ajira ni tatizo kubwa sana Kenya, kwamba wasomi wengi wamekata tamaa kutafuta kaxi, lakini wanasema Kenya unemployment rate ni 7.5%, sasa unajiuliza vipi Kenya kuwe na tatizo la ajira ikiwa unemployment ni 7.5% wakati UN imesema ni zaidi ya 40%?.
 
Ugatuzi ni nini?

Ugatuzi ni serikali iliyo kati ya central government and Federal Government. Kwa mfano, huyo RC Makonda achaguliwe na wananchi na apewe mamalaka fulani (Tunawaita Gavana), na Kuwe mwingine kwenye jimbo hilo hilo, aliyeteuliwa na Serikali kuu amabye ako na mamalaka tofauti (Tunawaita County Commissioner)
 
Zaidi ya hapo ni kwamba kila gatuzi ina uwezo wa kufanya makadirio yake na pia asilimia 15% ya raslimali au mapato ya gatuzi yanabaki huko huko. Kwa mfano Mtwara waligundua gesi ambayo imewekewa bomba na kusafirishwa hadi Dar, sasa hapo ingekua kwa katiba ya Kenya, basi asilimia fulani ya mapato ya hiyo gesi ingebaki huko kwa ajili ya wakazi wa maeneo hayo, inatumika kuboresha huduma huko.

Yaani hapa kwa kweli Kenya tulipatia, iko safi sana na ndugu zetu wanafikiwa na huduma kule mashinani pamoja na kwamba ufisadi upo na umekolea.
 
Those unemployed youths are not just sitting at home doing nothing...

Kenya, Rwanda have highest informal jobs in Africa
 
Zaidi ya hapo ni kwamba kila gatuzi ina uwezo wa kufanya makadirio yake na pia asilimia 15% ya raslimali au mapato ya gatuzi yanabaki huko huko. Kwa mfano Mtwara waligundua gesi ambayo imewekewa bomba na kusafirishwa hadi Dar, sasa hapo ingekua kwa katiba ya Kenya, basi asilimia fulani ya mapato ya hiyo gesi ingebaki huko kwa ajili ya wakazi wa maeneo hayo, inatumika kuboresha huduma huko.

Yaani hapa kwa kweli Kenya tulipatia, iko safi sana na ndugu zetu wanafikiwa na huduma kule mashinani pamoja na kwamba ufisadi upo na umekolea.
Wakazi wa Turkana, Moyale, West Pokot, Mandera, Isiolo, Marsabit nina wasikitikia sana.
 
Kuna miaka ya kabla katiba mpya ungewahurumia, lakini leo hii mambo yanabadilika, ingekua bora uwahurumie Watanzania wanaoteseka wakija Kenya kuomba omba

Certified member of Za Usoni Army. Nakuvulia kofia.
 
Acha uongo we mtu. Nenda pale Kisumu - Awasi watu wanashida ya maji balaa. Kuanzia Migori, Kisii, Ahero, Awasi na Chemelil wajaruo wanalalamika shida tu kila kukicha. Sema wanawake wa huko wana chura kwahiyo ukiwaangalia kiu inakata.
 
Kweli aisee uje na zawadi
 
Hahaa eti kweli kama unapajua vile. Usijali zawadi nitakuja nayo, nitakuletea Omena unazijua lakini? Wiki ijayo nitakuwa huko kwenu saizi kuna manzi niko namkatia joo. Juu ujue tunatafuna maini kwanza.
Kweli aisee uje na zawadi
 
Acha uongo we mtu. Nenda pale Kisumu - Awasi watu wanashida ya maji balaa. Kuanzia Migori, Kisii, Ahero, Awasi na Chemelil wajaruo wanalalamika shida tu kila kukicha. Sema wanawake wa huko wana chura kwahiyo ukiwaangalia kiu inakata.
Sasa hiyo shida moja ambayo sijui tayari imekwisha suluhishwa ndio inafanya ripoti hii kuwa ya uongo? Nyinyi wapuxi kweli.
 
Ugatuzi ni serikali iliyo kati ya central government and Federal Government. Kwa mfano, huyo RC Makonda achaguliwe na wananchi na apewe mamalaka fulani (Tunawaita Gavana), na Kuwe mwingine kwenye jimbo hilo hilo, aliyeteuliwa na Serikali kuu amabye ako na mamalaka tofauti (Tunawaita County Commissioner)
Kwa upanuzi wa uelewa na kuyaongeza maarifa tu, Kiutendaji, huu mfumo una tofauti gani na huu wa Tz, wenye central government na local governments? Huku kuna RCs ktk mikoa ambao ni wawakilishi wa central government ktk eneo la mamlaka za mikoa, na kuna Mameya kama wakuu wa maeneo ya kiutawala (halmashauri). Lakini pia kuna wabunge kama wawakilishi wa majimbo ya uchaguzi ktk Bunge la taifa? Ikumbukwe kuwa hizi halmashauri zina mamlaka kamili ya kiutawala.
 
Zaidi ya hapo ni kwamba kila gatuzi ina uwezo wa kufanya makadirio yake na pia asilimia 15% ya raslimali au mapato ya gatuzi yanabaki huko huko. Kwa mfano Mtwara waligundua gesi ambayo imewekewa bomba na kusafirishwa hadi Dar, sasa hapo ingekua kwa katiba ya Kenya, basi asilimia fulani ya mapato ya hiyo gesi ingebaki huko kwa ajili ya wakazi wa maeneo hayo, inatumika kuboresha huduma huko.

Yaani hapa kwa kweli Kenya tulipatia, iko safi sana na ndugu zetu wanafikiwa na huduma kule mashinani pamoja na kwamba ufisadi upo na umekolea.
Pia,nadhani huo mfumo unaruhusu ukuaji wa uchumi upande mmoja tu wa nchi, kule ambako resources ziko, vipi pande zingine za nchi ambako nako kuna wananchi na hawana hizo. Nadhani wa Tz ni bora zaidi, halmashauri itajitengenezea vipaumbele vyake, vichache vitamalizwa na mapato yao ya ndani, na mizigo mikubwa itabebwa na central government pasi ya kujali hiyo halmashauri imechangia nini bali ina mahtaji yapi ya msingi ktk vile vipaumbele vya taifa.
 
Back
Top Bottom