Ugatuzi

Ugatuzi

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,067
Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake!
 
Ugatuzi ni kuondoa jukumu flani kutoka katika menegmenti flan, unaweza sema shele zote za sekondari zimegatuliwa toka serikali kuu na sasa ziko chini ya kata
 
Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake!

Its purely decentralization,mgawanyiko wa madaraka
 
Back
Top Bottom