Una hoja ila pamoja na utaalamu wako bado haupo deep kunielewesha ngumbaro kama mie .Nikujibu Kitaalam,
1. Serikali kupitia mamlaka huanza kugawa masafa tofauti pale radio inapoomba leseni ngazi ya kikanda (regional) ambapo hupewa masafa 9 (booster stations).
Kiufundi:-
Radio ikifunga mtambo labda tuseme wa 2KW na mfumo wa antenna unaofikia dB14gain tuseme radio hii imefungwa Arusha. (Arusha Booster Stations) mawimbi haya yanaweza kusafiri kwenda mbali zaidi hadi kuingia mikoa ama wilaya zingine za Jirani.
Mteja huyuhuyu akaamua tena kuweka Booster yake Babati /Manyara. Kwa mitambo ya ukubwa uleule, uwezekano ni kwamba Booster ya Arusha na ya Manyara zitafika eneo moja (kuingiliana) kwa zaidi ya asilimia 40%.
Kitalaamu sasa iko hivi:-
Masafa ya kufanana yanapogongana hutengeneze ukimya (generetes silence) yaani radio yako haitasikika kabisa.
Hii ndo sababu unapewa masafa tofauti ili hata kama.yatagongana msikilizaji anaweza kuchagua anasikiliza Booster ya Arusha au Babati.
2. Sababu ya Pili.
Wangefanya kama ulivyopendekeza nadhani nchi nzima ingeliweza kujaa aidha kwa radio 20-30 pekee. Wengine wasingepata masafa. Lakini sasa kwa mgawanyo huu tunaradio zaidi ya 150+ Tanzania. Ingekuwa ukiomba unapewa wewe tu uiumie nchi nzima basi ingekuwa frequency ikiombwa ndo imetoka moja kwa moja hiyo.
Sababu hizi kuu, mbili zinajibu hoja yako kuwa, masafa yanagawiwa hivyo ili kutoa nafasi kwa radio nyingi zaidi kuanzishwa na pia kiufundi kuepusha mwingiliano wa masafa hayo.
Kwa huduma za kuanzia radio, kununua vifaa vya radio, kufungiwa mitambo n.k tuone sisi,
Broadcast Technology Limited
www.broadcast.co.tz
Email: info@broadcast.co.tz
Mwingine mwenye kichwa kigumu kama mimi ambae hajaelewa na ajitokezeBado mpaka sasa vifaa local kuwa digital hapa ila kwa ulaya teyari.
Mfano star tv wanatumia frequency moja ya mawimbi TV kuchambua tv zote.
Kwa nini!
Frequency zina masafa yanayo kwenda na geograph na yanapo ishia
View attachment 1719220
View attachment 1719221
Vizuizi
Hali ya hewa mfano ukanda baridi,ukanda wajoto na n.k
Sehemu ya miinuko,ukanda wa bahari,tambarare na n.k
Hivi vote vinaweza kufanya frequency kushinda kufika maana inazidi kupotea kwa kuwa frequency ni wave.
Wave ina tegemeana na uwezo mnaotumia
View attachment 1719222
View attachment 1719223
Kama wave zinazotumia fm ni ngumu kufika mbali sana ila zinaweza kuboreshwa.
Siwezi kueleza kwa kuandika sana
Huyu alikuwa amekilenga kile kituo cha Black Empty Pumpkin kinachotumia muda wote kupiga blabla za uchumi wa juu.Man kwanini umekuja na wazo la hayo majina. Dah. Eti Tikiti FM. 😂😂😂
hata mimi sijamuelewa,ameongea kama wale comedians wanaoongeaga lugha gongana kama yule wa morogoroMwingine mwenye kichwa kigumu kama mimi ambae hajaelewa na ajitokeze
Naomba niulize swali
... TCRA wameshindwa kuja na measures za hili kama kweli lipo? Inashindikana nini kutoa leseni kwa muda fulani, ukishindwa kuitumia anapewa mwingine?Very good idea, tatizo ni watu kukatia leseni frequency na kuihodhi, ukiitaka anakwambia nipe bilioni 2 nikuuzie, shida ndio ipo hapo, mtu anaona bora achukue frequency nyingine iliyo tupu
Uwezekano upo ila kifaa ha kurusha masafa ya umbali huo ni bei zaidi na uendeshaji wake haulipi hata kidogo ndio maana unaona upande wa internet kuna gsm wdcmm 3g kwa sasa 4g na kuna 5g iko test hizo zote ni internet lakini zinazidiana uwezo.Habari zenu wajumbe....
Kwa muda mrefu kidogo nimekua nikijiuliza hili swali.
Ni kwanini kuna mkanganyiko katika ugawaji wa masafa ya vituo vya redio ?
Nitaeleza kwa mifano ili hoja yangu ieleweke vema kwa namna hali ilivyo sasa hivi.
Kituo chetu cha redio (cha mfano) tutakiita ''Tikiti maji FM''.
Kwa namna hali ilivyo sasa, utaipata Tikiti FM kwa masafa yafuatayo katika mikoa tofauti tofauti....
Mbeya 89.9 MHz
Tanga 102.3 MHz
Iringa 85.7 MHz
Dar Es Salaam 97.5 MHz
Kigoma 101.4 MHz
Mtwara 92.1 MHz
N.k
Tatizo liko hapa:
Hii inatupa mkanganyiko sisi wapenzi wa redio hii (Tikiti Maji FM) pale tunaposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Itatulazimu kuanza kuhangaika kujua redio yetu pendwa (Tikiti maji FM) inapatikana kwenye frequency zipi katika mkoa huu ''mpya'' tulioutembelea, ili tuweze kuisikia.
Mawazo yangu:
Ninadhani ingekua ni vema zaidi haya masafa yagawanywe ''kitaifa'' ukizingatia kwamba mamlaka inayogawa masafa haya ni moja yaani (TCRA), hivyo hakutakua na mkanganyiko.
Hali iwe kama hivi:
88.1 MHz ni Tikiti Maji FM
89.8 MHz ni Mapapai FM
92.3 MHz ni Nanasi FM
95.6 MHz ni Nazi Mbovu FM
98.5 MHz ni Embe Dodo FM
102.7 MHz ni Nyanya Mbichi FM
107.2 MHz ni Pilipili Kichaa FM
N.k
Masafa tajwa hapo juu yawe ni kwa nchi nzima na si kimikoa.
Manufaa:
Hii itasaidia yafuatayo:
1. Kuondoa mkanganyiko na usumbufu usio wa lazima kwa walaji (wasikilizaji).
2. Itasidia kwenye ''branding'' ya vituo vya redio. Mtangazaji akisema ''unasikiliza 88.1'', msikilizaji anaelewa moja kwa moja kwamba kituo kinachozungumziwa hapa ni Tikiti Maji FM.
(Itakua tofauti na sasa, ambapo ni lazima mtangazaji huyo ni afafanue anaizungumzia 88.1 ''ya mkoa upi'')
Kwa kifupi ni kwamba masafa fulani yanakua ni ''brand and identity'' ya kituo cha fulani cha redio nchi nzima.
Majibu ya hoja ''zinazoweza'' kujitokeza kufuatia pendekezo hili:
1. Itakuwaje kwa redio ambazo hazisikiki nchi nzima ?
Jibu: Katika eneo ambalo redio husika haisikiki, frequency ''yake'' inabaki ''wazi'' (Hakuna mwingine atakayeitumia hadi pale ''mwenyewe'' atakapoanza kurusha matangazo kwenye eneo hilo).
2. Je hii haitapunguza mapato ya serikali kupitia tozo za kuomba masafa ?
Jibu: Hapana, mapato yatapatikana kwenye kuomba hayo masafa ya ''kitaifa'' pamoja na ''vibali'' vya kurusha matangazo kwenye mikoa tofauti tofauti.
3. Tuna vituo vya redio vingi sana nchini, je, tukitaka kila redio ihodhi masafa ''kitaifa'', tunayo ''akiba'' ya masafa ya kumgawia kila mmoja (kila redio) ?
Jibu: Tunaweza kutanua ''uwanda'' wa masafa kutoka (87 hadi 108) yaliyopo sasa (endapo hayatatosha) na kuongezea zaidi (kwa kadri teknolojia itakavyoturuhusu).
Naombeni kuwasilisha.
NB: Mimi si mtaalam wa mambo ya ''telecommunications'' hivyo kunaweza kukawa na mapungufu ya kiufundi katika wasilisho langu hapo juu (hasa jibu la swali la 3), hivyo naomba tuutumie uzi huu kuelimishana kama kuna waliobobea katika masuala haya.
Karibuni.
Hujaelewa jomba.Uwezekano upo ila kifaa ha kurusha masafa ya umbali huo ni bei zaidi na uendeshaji wake haulipi hata kidogo ndio maana unaona upande wa internet kuna gsm wdcmm 3g kwa sasa 4g na kuna 5g iko test hizo zote ni internet lakini zinazidiana uwezo.
Hivyo mpaka sasa hakuna kampuni au studio yenye uwezo huo hata serikali yenyewe haina jeuri hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea as if station x inataka ku broadcast matangazo yake katika frequency moja kwa tumia booster moja , swali halipo hivoUwezekano upo ila kifaa ha kurusha masafa ya umbali huo ni bei zaidi na uendeshaji wake haulipi hata kidogo ndio maana unaona upande wa internet kuna gsm wdcmm 3g kwa sasa 4g na kuna 5g iko test hizo zote ni internet lakini zinazidiana uwezo.
Hivyo mpaka sasa hakuna kampuni au studio yenye uwezo huo hata serikali yenyewe haina jeuri hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
94.2 Radio Kwizera Ngara Fm masafa ya Kigoma. #shufwaWait majibu utayapata ni kwa nini, maana nipo mbioni kufungua radio station yangu itakayoitwa MAFENESI FM, huko niakuwa natoa elimu ya mambo ya kuanzisha radio station!
Halafu mbona hujauliza ni kwa nini hizo radio frequency za fm zinaishia na decimal point ambayo ni namba witiri..!?!
Hawangaalii kuitumia, cha msingi ni kama unailipia, hivyo inakuwa hai, unawaambia bado unaandaa mipango ya kazi... TCRA wameshindwa kuja na measures za hili kama kweli lipo? Inashindikana nini kutoa leseni kwa muda fulani, ukishindwa kuitumia anapewa mwingine?
... hilo ni tatizo linalohitaji kutafutiwa ufumbuzi. Suala liwe matumizi badala ya kulipia bila matumizi.Hawangaalii kuitumia, cha msingi ni kama unailipia, hivyo inakuwa hai, unawaambia bado unaandaa mipango ya kazi
Nikujibu Kitaalam,
1. Serikali kupitia mamlaka huanza kugawa masafa tofauti pale radio inapoomba leseni ngazi ya kikanda (regional) ambapo hupewa masafa 9 (booster stations).
Kiufundi:-
Radio ikifunga mtambo labda tuseme wa 2KW na mfumo wa antenna unaofikia dB14gain tuseme radio hii imefungwa Arusha. (Arusha Booster Stations) mawimbi haya yanaweza kusafiri kwenda mbali zaidi hadi kuingia mikoa ama wilaya zingine za Jirani.
Mteja huyuhuyu akaamua tena kuweka Booster yake Babati /Manyara. Kwa mitambo ya ukubwa uleule, uwezekano ni kwamba Booster ya Arusha na ya Manyara zitafika eneo moja (kuingiliana) kwa zaidi ya asilimia 40%.
Kitalaamu sasa iko hivi:-
Masafa ya kufanana yanapogongana hutengeneze ukimya (generetes silence) yaani radio yako haitasikika kabisa.
Hii ndo sababu unapewa masafa tofauti ili hata kama.yatagongana msikilizaji anaweza kuchagua anasikiliza Booster ya Arusha au Babati.
2. Sababu ya Pili.
Wangefanya kama ulivyopendekeza nadhani nchi nzima ingeliweza kujaa aidha kwa radio 20-30 pekee. Wengine wasingepata masafa. Lakini sasa kwa mgawanyo huu tunaradio zaidi ya 150+ Tanzania. Ingekuwa ukiomba unapewa wewe tu uiumie nchi nzima basi ingekuwa frequency ikiombwa ndo imetoka moja kwa moja hiyo.
Sababu hizi kuu, mbili zinajibu hoja yako kuwa, masafa yanagawiwa hivyo ili kutoa nafasi kwa radio nyingi zaidi kuanzishwa na pia kiufundi kuepusha mwingiliano wa masafa hayo.
Kwa huduma za kuanzia radio, kununua vifaa vya radio, kufungiwa mitambo n.k tuone sisi,
Broadcast Technology Limited
www.broadcast.co.tz
Email: info@broadcast.co.tz
Habari zenu wajumbe....
Kwa muda mrefu kidogo nimekua nikijiuliza hili swali.
Ni kwanini kuna mkanganyiko katika ugawaji wa masafa ya vituo vya redio ?
Nitaeleza kwa mifano ili hoja yangu ieleweke vema kwa namna hali ilivyo sasa hivi.
Kituo chetu cha redio (cha mfano) tutakiita ''Tikiti maji FM''.
Kwa namna hali ilivyo sasa, utaipata Tikiti FM kwa masafa yafuatayo katika mikoa tofauti tofauti....
Mbeya 89.9 MHz
Tanga 102.3 MHz
Iringa 85.7 MHz
Dar Es Salaam 97.5 MHz
Kigoma 101.4 MHz
Mtwara 92.1 MHz
N.k
Tatizo liko hapa:
Hii inatupa mkanganyiko sisi wapenzi wa redio hii (Tikiti Maji FM) pale tunaposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Itatulazimu kuanza kuhangaika kujua redio yetu pendwa (Tikiti maji FM) inapatikana kwenye frequency zipi katika mkoa huu ''mpya'' tulioutembelea, ili tuweze kuisikia.
Mawazo yangu:
Ninadhani ingekua ni vema zaidi haya masafa yagawanywe ''kitaifa'' ukizingatia kwamba mamlaka inayogawa masafa haya ni moja yaani (TCRA), hivyo hakutakua na mkanganyiko.
Hali iwe kama hivi:
88.1 MHz ni Tikiti Maji FM
89.8 MHz ni Mapapai FM
92.3 MHz ni Nanasi FM
95.6 MHz ni Nazi Mbovu FM
98.5 MHz ni Embe Dodo FM
102.7 MHz ni Nyanya Mbichi FM
107.2 MHz ni Pilipili Kichaa FM
N.k
Masafa tajwa hapo juu yawe ni kwa nchi nzima na si kimikoa.
Manufaa:
Hii itasaidia yafuatayo:
1. Kuondoa mkanganyiko na usumbufu usio wa lazima kwa walaji (wasikilizaji).
2. Itasidia kwenye ''branding'' ya vituo vya redio. Mtangazaji akisema ''unasikiliza 88.1'', msikilizaji anaelewa moja kwa moja kwamba kituo kinachozungumziwa hapa ni Tikiti Maji FM.
(Itakua tofauti na sasa, ambapo ni lazima mtangazaji huyo ni afafanue anaizungumzia 88.1 ''ya mkoa upi'')
Kwa kifupi ni kwamba masafa fulani yanakua ni ''brand and identity'' ya kituo cha fulani cha redio nchi nzima.
Majibu ya hoja ''zinazoweza'' kujitokeza kufuatia pendekezo hili:
1. Itakuwaje kwa redio ambazo hazisikiki nchi nzima ?
Jibu: Katika eneo ambalo redio husika haisikiki, frequency ''yake'' inabaki ''wazi'' (Hakuna mwingine atakayeitumia hadi pale ''mwenyewe'' atakapoanza kurusha matangazo kwenye eneo hilo).
2. Je hii haitapunguza mapato ya serikali kupitia tozo za kuomba masafa ?
Jibu: Hapana, mapato yatapatikana kwenye kuomba hayo masafa ya ''kitaifa'' pamoja na ''vibali'' vya kurusha matangazo kwenye mikoa tofauti tofauti.
3. Tuna vituo vya redio vingi sana nchini, je, tukitaka kila redio ihodhi masafa ''kitaifa'', tunayo ''akiba'' ya masafa ya kumgawia kila mmoja (kila redio) ?
Jibu: Tunaweza kutanua ''uwanda'' wa masafa kutoka (87 hadi 108) yaliyopo sasa (endapo hayatatosha) na kuongezea zaidi (kwa kadri teknolojia itakavyoturuhusu).
Naombeni kuwasilisha.
NB: Mimi si mtaalam wa mambo ya ''telecommunications'' hivyo kunaweza kukawa na mapungufu ya kiufundi katika wasilisho langu hapo juu (hasa jibu la swali la 3), hivyo naomba tuutumie uzi huu kuelimishana kama kuna waliobobea katika masuala haya.
Karibuni.
Mie nimeanzisha NG'ONGO FM ila bado frequency za kuviziaLWait majibu utayapata ni kwa nini, maana nipo mbioni kufungua radio station yangu itakayoitwa MAFENESI FM, huko niakuwa natoa elimu ya mambo ya kuanzisha radio station!
Halafu mbona hujauliza ni kwa nini hizo radio frequency za fm zinaishia na decimal point ambayo ni namba witiri..!?!
Pia inawezekana kuwa na Frequency moja kwa kila mkoa. Na ukitaka kusajiliwa utasajiliwa kama kituo kipya lakini kwa frequency zilezile. Na usipolipia watazima kama kawaida kwa sababu usajili umesajiliwa eneo (mkoa) husika.Hiyo ni biashara ya ATCRA they are making something out of having different frequency unazilipia zote siku una feli kulipia moja wapo maana yake mkoa huo au wilaya itakuwa imezimwa. ni biashra wakikuwekea moja si utalipia moja tu baadae wao watafaidi nn
We jamaa, NG'ONGO tena. Nakuona nakuona hapo NG'ONGO.Mie nimeanzisha NG'ONGO FM ila bado frequency za kuviziaL