A
Anonymous
Guest
Mimi ni mdau kutokoa wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Hali ya Ugawaji wa namba za NIDA imekuwa sio nzuri ambapo kwa mwezi sasa namba hazitoki toka tarehe 10/06/2024.
Kila ukienda unaambiwa kuna tatizo la mtandao ambao ni TTCL kuwa na hitilafu makao makuu ya mkoa wa Simiyu.
Kutokana na hiyo hali sisi wanafunzi tunaoomba Mkopo HESLB na Bima ya Afya tushindwe na ikumbukwe dirisha la Mkopo lipo mbioni kufungwa.
Tunaomba hili suala viongozi waingilie kati kwani tunaweza kwama kupata Mikopo HESLB kwa uzembe wa Maofisa wa NIDA na TTCL wilaya ya Busega mkoani Simiyu.
Pia soma:
Waziri Masauni: NIDA kuna shida ya usimamizi, Uongozi una shida, Watu wanateseka kupata Vitambulisho