A
Anonymous
Guest
Vitambulisho vya ulowezi wanavyopewa baadhi ya wakazi wa Biharamulo mkoan Kagera (na Familia zao) kwa kuwa na asili ya Rwanda ,je Ni sahihi naomba pia vigezo vya mtu kuitwa mlowezi.
Hii inapelekea wakazi wengi kuogopa kumiliki baadhi ya mali wakikimbilia nchi jirani ya Uganda.
Hii inapelekea wakazi wengi kuogopa kumiliki baadhi ya mali wakikimbilia nchi jirani ya Uganda.