robertmnyang
Member
- Oct 6, 2016
- 62
- 19
Juzi mgeni mmoja kaja home kwetu inshort ni binamu yang maza kachinja kuku na mapochopocho kwa ajili yake muda wa daku si jamaaa akaanza kujishebedua Mara hooo mboga zenye nyanya situmiii Mara hooooo mngeniuliza nataka kupikiwa nn mara z ikawa a maza kwa hasira akachukua msosi akawamwagia mmbwa sie tuxha kula tukaenda lala bhana jana moniii naamka namkuta jamaa kaamka mapema anapiga mwiayooo sebuleni mie nikasepa kwenye mishe zang home kwetu chai mida ya satano narudi nakuta jamaaaa kakonda gafra Jana kalala njaa alivyo kula menu ya asubuh kasepa bila kuaga hahha[emoji31] [emoji31] [emoji31] hatupendi ujinga sisi kwetu