Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Karibu sana. Mgeni njoo mwenyeji apone.
Sawa
karibu sana JF....
Karibu petu pazuri
Picha tafadhali kwa utambulisho zaidiHabari...!
Bila shaka mko vyema km ilivyo kwangu mm.
Kitambo nafuatlia baadh ya majukwaa mbal mbal ya JF mpk namm nmeshawishika kujumuika.
Naomba ushirikiano wenu
Asante mkuumiongon mwa walionshawish kujiunga na JF ww ni m1 wpo.
huwa nazielewaga sna 'comment' zko zlizojaa hekima.
nakukubal mno dadaa
ni mgeni kweli au ID ndio mpya?
Hili dime unaona hata andika yake ni ya kibabeKaribu mgeni, wewe me au ke