K Kakumamoto JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,237 Reaction score 1,696 May 6, 2015 #1 Habari wanajamvi, naomba kupokelewa humu jamvini kwani mimi ni mgeni. Naahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau wote. Nawatakia shughuli njema za ujenzi wa Taifa.
Habari wanajamvi, naomba kupokelewa humu jamvini kwani mimi ni mgeni. Naahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau wote. Nawatakia shughuli njema za ujenzi wa Taifa.
Bangsweezy JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 880 Reaction score 200 May 6, 2015 #2 haya karibu mgeni JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 7, 2015 #3 karibu sana JF njukuu wetu kwa GT...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 7, 2015 #4 Karibu sana JF...