Chanzo chake ni mwilini, yaani cell kila siku hufa na kuzaliwa mpya.
Zikizokufa hutoka nje kwa njia ya jibu. Kwa vile njia zako za kujisafisha hazitoshi, yaani huli chukula bora na maji ya kutosha.
Kinga yake ni kuwa msafi wa ndani ya mwili yaani kula na kunywa vizuri.
Tiba ni kukamuliwa tu.