Ugombea binafsi kuzua tafrani uchaguzi 2015

Ugombea binafsi kuzua tafrani uchaguzi 2015

20162016

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
206
Reaction score
96
Kama rasimu ilivyopendekeza kutakuwa na wagombea binafsi kwa nafasi zote,
swali: nini kitanyika endapo watajitokeza wagombea 70 kwa nafasi ya urais na 70 kwa ubunge? je wataruhusiwa wote kugombea? vipi gharama za kuandaa mabox ya kura na confusion kwa wananchi kuwatofautisha wagombea?
Kuna haja kuwe na limit ya wagombea binafsi kwa kila nafasi yusije kupata wagombea 200 kwa nafasi moja
 
Back
Top Bottom