Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa

Wachezaji wa Kenya wanaahiwa kitita kila mechi ndio sababu wakamfunga Morocco. Hapa kwetu matajiri kazi yao kuwachangia wanasiasa tu, nyambaf
 
Wanataka kututoa kwenye reli, nchi inajadili kesi ya Malisa na swala la wizi unaoendelea tanganyika, wao wanatuletea umama.(Hamna ugomvi hapo ni kiki na siasa kututoa kwenye reli msisahau Domondi ni puppet/mwanasesere)
 
Lol😂
 
Hv mtu mwenye akili na mwenye mambo ya maana ya kufuatilia anaweza kupoteza muda kusoma maelezo yote haya eti mambo ya diomond na baba levo!!?
 
Mwamba polepole atakua live leo...21st to remember.
 
Wamuache Mbosso jamani Hana Baya nao
Huyo chawa Baba Levo lazima katumwa kumchokonoa Mbosso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…