F Faty Member Joined Mar 28, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Apr 3, 2012 #1 Je iwapo hakimu akiwa mahakamani akisoma kesi kwa ajili ya mtuhumiwa wa jambo fulani, ikatokea mtuhumiwa kumpiga hakimu. Je hapo itakuwaje?
Je iwapo hakimu akiwa mahakamani akisoma kesi kwa ajili ya mtuhumiwa wa jambo fulani, ikatokea mtuhumiwa kumpiga hakimu. Je hapo itakuwaje?
M Majamba Jr Member Joined Apr 3, 2012 Posts 41 Reaction score 12 Apr 6, 2012 #2 Pamoja na shitaka linalomkabiri,hapo mshitakiwa atakuwa na mashitaka mengine yafuatayo; 1:Kuingilia uhuru wa mahakama(contempt of the court) 2:Assault - either criminalilly or tortiously
Pamoja na shitaka linalomkabiri,hapo mshitakiwa atakuwa na mashitaka mengine yafuatayo; 1:Kuingilia uhuru wa mahakama(contempt of the court) 2:Assault - either criminalilly or tortiously