Usilolijua litakusumbua!Wewe huoni majanga jamaa kupigana na Mungu?
Inapendeza kuona unajifunza Biblia, taratibu utaielewa tu!Wewe tafsiri kwa lugha upedavyo, mImi nimeisoma Kiswahili na huu ugomvi umenichekesha sana. Jamaa aligusa wapi?
Halaf cha ajabu wenzao hata hawajigus wala kujishughulisha na vitabu vyao.Ila wao daily full kutafuta vya watu .Nzi wa kijani wwe FaizaFoxyUsilolijua litakusumbua!
Tatizo mnasoma Biblia kama msomavyo hadithi za Shigongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimejikuta nasikitika tu, kwani hawa wenzetu wanapendaga kushindana na kutafsiri wanavyoweza wao???Mbona sie Wakristo hatuna hayo mambo, hata kama unaona kuna matusi kama yy anavyodai achana nayo hayakuhusu, kila mtu ashike Imani yake, haya mambo sio ya kuyashadadia kabisaaaNi kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.
Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.
Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pimbi tu huyu bi ajuza FaizaFoxy .Hata heshima yake siku hiz ilishaishaga humu jf.Inawezekana kapatwa na shida ya akilBinafsi nimejikuta nasikitika tu, kwani hawa wenzetu wanapendaga kushindana na kutafsiri wanavyoweza wao???Mbona sie Wakristo hatuna hayo mambo, hata kama unaona kuna matusi kama yy anavyodai achana nayo hayakuhusu, kila mtu ashike Imani yake, haya mambo sio ya kuyashadadia kabisaaa
Kwani biblia ipo kwa ajili ya wakristo tu? Si kwa wengine?Binafsi nimejikuta nasikitika tu, kwani hawa wenzetu wanapendaga kushindana na kutafsiri wanavyoweza wao???Mbona sie Wakristo hatuna hayo mambo, hata kama unaona kuna matusi kama yy anavyodai achana nayo hayakuhusu, kila mtu ashike Imani yake, haya mambo sio ya kuyashadadia kabisaaa
Bora umemkosoa, yani pamoja na kuwa ni muandishi mzuri, alafu anatuandikia mungu.Mungu sio mungu
Mungu na mungu tofauti yake ipi?Bora umemkosoa, yani pamoja na kuwa ni muandishi mzuri, alafu anatuandikia mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwa wenzako wasokuwa na kashfa kama ww,hizo ni dharau ,kwanza unaiandikaje bi badala ya Bi,ww kama na Imani yako na sisi tuache na Imani yetu basi, mbona ww mtu mzima???Vitu vingine acha wafanye wenye uelewa mdogo , achana na Imani za watuSasa biblia ipomkwa ajili ya wakristo tu? Si kwa wengine?
Sasa kama unaona mistari ya biblia ni dharau inabidi ujiulize ni Mungu kweli aliyoandika hiyo comedy?Labda kwa wenzako wasokuwa na kashfa kama ww,hizo ni dharau ,kwanza unaiandikaje bi badala ya Bi,ww kama na Imani yako na sisi tuache na Imani yetu basi, mbona ww mtu mzima???Vitu vingine acha wafanye wenye uelewa mdogo , achana na Imani za watu
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Hey ni Mungu na sio Mungu kiswahili shidaKisa cha mungu kupigana na mtu siyo majanga?
Kwani wewe huna nguvu za kumpiga?Wewe huoni majanga jamaa kupigana na Mungu?
Upedavyo pole kwa mafuaWewe tafsiri kwa lugha upedavyo, mImi nimeisoma Kiswahili na huu ugomvi umenichekesha sana. Jamaa aligusa wapi?
Kwani neno Mungu halina jinsia?Mungu sio jina ni neno lenye uwingi "miungu". Kingereza lina mpaka "gender".
Mungu kwa kiingereza ni god au siyo?