25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Hata kama alishika huo uliomo akilini mwako kwani babawako ukiwa mdogo akuwahi kukutawaza akashika uvungu uliomo akilini mwako. Acha ujinga wewe. Akili zanu huwa zinawaza ngono tu. Ndio maana huwa mnalundikwa watatu ndani.Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.
Jamaa alishika uvungu upi?
Jibu ni ndio, wasio wakristo inawahusu niniKwani biblia ipo kwa ajili ya wakristo tu? Si kwa wengine?
Asante sana mama, unajua hiki kibibi kilijua kuna watu watakuja kuanza kukashifu uislam ili kipate kilichotarajia sasa imegeuka tofauti na hakijapata any support ndo maana kimebaki alone!Ni kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.
Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.
Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tafsiri hapo nimeweka na mistari ya biblia. Tafsiri wewe.
Faiza unapenda sana ligi ?! . Natamani kukutana na wewe lakini ndiyo haiwezekani, Mimi ni mzee najifia huku kijijini . Kikubwa vilivyoko kwenye vitabu vyetu hivi vya Imani (Bible & Qur'an ) visikuchanganye na hamuokoi mtu kutoka dhambini, bali imani na matendo yako kwa Mwenyezi Mungu.Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.
Jamaa alishika uvungu upi?
achana naye huyo bibi ana matatizo sana.... alafu nasikia ni kizee cha makamo kabisa ila kina mambo yakipuuzi sanaNi kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.
Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.
Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na tafsiri yako !! Ikilenga kujifunza utaelewa lakini ikilenga kutafuta dosari hutaelewa.Sasa kama unaona mistari ya biblia ni dharau inabidi ujiulize ni Mungu kweli aliyoandika hiyo comedy?
Nambie mstari upi ni wangu hapo?
Nimejifunza, binaadam anaweza kupigana na Mungu na akamshinda, au siyo? Kama siyo, nipe wewe mafundisho ya hicho kisa. Mimi kimenifurahisha sana na kunichekesha.Inategemea na tafsiri yako !! Ikilenga kujifunza utaelewa lakini ikilenga kutafuta dosari hutaelewa.
Katika Ukristo kuna madarasa ya kujifunza na kuelewa. Siyo kukariri . Kwa hiyo jiunge madarasa haya utauliza maswali yako humo na utaelewa. Humu Jf ni kuzodoana na hutaelewa chochote [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi na mtu wa aina hii ni tabu sana..achana naye huyo bibi ana matatizo sana.... alafu nasikia ni kizee cha makamo kabisa ila kina mambo yakipuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujuze na uzee wako, hicho kisa kinafundisha nini? Ni tukio la kweli hilo lililorikodiwa kwenye biblia au ni hekaya tu kama ya abunuasi?Faiza unapenda sana ligi ?! . Natamani kukutana na wewe lakini ndiyo haiwezekani, Mimi ni mzee najifia huku kijijini . Kikubwa vilivyoko kwenye vitabu vyetu hivi vya Imani (Bible & Qur'an ) visikuchanganye na hamuokoi mtu kutoka dhambini, bali imani na matendo yako kwa Mwenyezi Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimejikuta nasikitika tu, kwani hawa wenzetu wanapendaga kushindana na kutafsiri wanavyoweza wao???Mbona sie Wakristo hatuna hayo mambo, hata kama unaona kuna matusi kama yy anavyodai achana nayo hayakuhusu, kila mtu ashike Imani yake, haya mambo sio ya kuyashadadia kabisaaa
Mie nna matatizo au hiyo aya ina matatizo?achana naye huyo bibi ana matatizo sana.... alafu nasikia ni kizee cha makamo kabisa ila kina mambo yakipuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwafundisha hekaya za kufurahisha za kwenye biblia vibaya?Ana matatizo kichwani huyu.na hata kama mtu amekosa la kufanya ndo afanye hili..haingii akilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeitafsir Biblia vibaya Mkuu!Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Nitaenda kupasoma tena vzr!Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Genesis 32:25
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Mwalimu wa imla hakukufinya kuandika jina kwa kuanza na herufi ndogo ety?Mungu na mungu tofauti yake ipi?
Kwi kwi kwi teh teh teh.We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
Mungu siyo jina. Kamuulize Mwalimu wako akueleweshe vizuri.Mwalimu wa imla hakukufinya kuandika jina kwa kuanza na herufi ndogo ety?
Sent using Jamii Forums mobile app