Hizi beef nyingi (si zote) ni businesswise sio personal kama wengi tunavyodhani. Sasa angeacha kushiriki hayo matamsaha angepata wapi pesa na yeye kazi yake ni muziki!
Unaweza kututhibitishia kuwa hii insta chat ni ya siku za karibuni?
Kwani unateseka mwenyekiti kwa kupatana kwao
Kwani unateseka ?Unajua kusoma mkuu, iyo post mtoa mada hadi kaandika hongera, kwann unahisi anateseka.
Ndiyo umenithibitishia hivyo tayari Mkuu! Thanks.
Kwani unateseka ?
Nikinywa unatesekaUmekunywa chai?