Ugomvi wa Wema na Kajala umefikia mwisho

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu. Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.

Juzi kwenye msiba wa Rechal pale makaburini kulikuwa na makundi huku Kajala akiwa na sare tofauti na as well Wema alivaa sare ya peke yake lakini hii inaweza kuwa tofauti katika msiba wa Tyson kwani wawili hao walipatanishwa wakiwa msibani hapo na kuamua kuyamaliza kwani hakuna mfano mzuri katika maisha ya mwanadamu kama kifo, kwani kinamkumbisha kila mmoja wetu kuishi vema na kwamba kesho tutaondoka .

Wawili hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na Instagram kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .lets hope wamesafisha mioyo yao na wataishi kama zamani.
 

Attachments

  • 1401795356106.jpg
    35.3 KB · Views: 960
Nahis team zao zipo hoiiiii
 
Nahis team zao zipo hoiiiii

Jipange siku izi kafungiwa IG, maana alivyokuwa anajishaua kama kaambiwa ig ya wema kutwa kumsifia, wamemkomesha, naona siku iz IG kuna ustaarabu kidogo.
 
tema mate chini wewe wale wauza kabang bado hawajapatana hata kidogo labda huo uwe moja ya miujiza ya mzee wa Hummer
 
Jipange siku izi kafungiwa IG, maana alivyokuwa anajishaua kama kaambiwa ig ya wema kutwa kumsifia, wamemkomesha, naona siku iz IG kuna ustaarabu kidogo.
hivi hii istargram na huko mbele ni vituko kama kwetu au wenzetu wanapost event za mambo yao?
 
Jipange siku izi kafungiwa IG, maana alivyokuwa anajishaua kama kaambiwa ig ya wema kutwa kumsifia, wamemkomesha, naona siku iz IG kuna ustaarabu kidogo.


Jipange kalud yupo na username yake ni kiroho safi ila sikuizi kuaccept raia nimuoga kinoma navi T-shirt vyao vya babalace sijui wachapishia pugu kinyerezi ili wawauzie wagogo hiyo nembo yenyewe ya teambibibomba kama mhuri wa ng'ombe yaani T-shirt haijavaliwa chafuuuuu..... basi utakuta mazuzu yanavyo vimba vichwa
 

Eeh hatar mm nilisha unfollow baada ya kuona kapigwa ban, ngoja nika mrequest tena
 

Yupo ila posts zake zote zimefutwa bhana, kashafulia now
 

Wivu n kidonda lol... unaonyesha kabsa we n hater!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…