Ugomvi wangu na Ali Kiba ni "personal"

Kipaji chake kinamsaidia nini ..manake anabana tu pua na hana ubunifu wowote ....mnavyomsifia ndiyo mnavyozidi kumpotosha..kubalini tu zama zake zimekwisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanume unauliza swali la kijinga namna hii,nyinyi ndio mnafanya akina juma lokole waajiriwe kwenye vituo vya matangazo.

wewe unamzidi kiba kitu gani,matako makubwa au kisogo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…