ugonjwa gani huu? harufu mbaya kinywani!.

ugonjwa gani huu? harufu mbaya kinywani!.

theChoosen1

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
45
Reaction score
9
jamani ni kama wiki ya pili sasa mdomo wangu unatema kichiz,naswaki mara nne kwasiku bt wapiii nisipoongeaongea lisaa tu aisee! harufu mbaya sana inatawala mdomoni,sasa inanitesa naenda hospital napewa mouth wash tu! sasa inanitesa saabu inanibid nitembee na box la PK..ni nini hii wakuu au niende wapi ntasaidiwa?.
 
Ulishatumia antibiotics zozote kabla hujapatwa na hali hio?Inawezekana una fungus katika mdomo...Kuna vitu vyovyote kama maugali ugali yanayotoka mdomoni ukiachilia mbali harufu?Je una mdomo mkavu au umekatika pembezoni mwa mdomo?
 
Ulishatumia antibiotics zozote kabla hujapatwa na hali hio?Inawezekana una fungus katika mdomo...Kuna vitu vyovyote kama maugali ugali yanayotoka mdomoni ukiachilia mbali harufu?Je una mdomo mkavu au umekatikga pembezoni mwa mdomo?

yah! asubuhi nikiamka lazima ntabanja makohoz mazito mithili ya ugaliugali af hairudii tena mpaka kesho yake asubuhi mmh! pia fungus miguuni ziliwahinisumbua 2011/12 nikatumia sana antibiotics other! midomo ikovizuri.
 
Fungus ulokuwa nayo ni ya kwenye koo na mdomo ndugu yangu,Nakushauri utumie fluconazole/diflucan capsules 100mg mara mbili kwa siku(asubuhi na jioni) kwa wiki moja/mbili au mycostatin mixture,5ml mara nne kwa siku(morning,before lunch,after lunch and evening) kwa wiki mbili.
 
nakushukuru sana,nafurahi kwa kunifumbua macho juu ya tatizo langu,aisee! ntakujulisha maendeleo yngu baada ya mwez hiv nikitumia hizo dawa.naheshimu michango yenu.
 
Back
Top Bottom