theChoosen1
Member
- Aug 1, 2013
- 45
- 9
Ulishatumia antibiotics zozote kabla hujapatwa na hali hio?Inawezekana una fungus katika mdomo...Kuna vitu vyovyote kama maugali ugali yanayotoka mdomoni ukiachilia mbali harufu?Je una mdomo mkavu au umekatikga pembezoni mwa mdomo?
Fungus ulokuwa nayo ni ya kwenye koo na mdomo ndugu yangu,Nakushauri utumie fluconazole/diflucan capsules 100mg mara mbili kwa siku(asubuhi na jioni) kwa wiki moja/mbili au mycostatin mixture,5ml mara nne kwa siku(morning,before lunch,after lunch and evening) kwa wiki mbili.yah! asubuhi nikiamka lazima ntabanja makohoz mazito mithili ya ugaliugali af hairudii tena mpaka kesho yake asubuhi mmh! pia fungus miguuni ziliwahinisumbua 2011/12 nikatumia sana antibiotics other! midomo ikovizuri.
Fungus ulokuwa nayo ni ya kwenye koo na mdomo ndugu yangu,Nakushauri utumie fluconazole/diflucan capsules 100mg mara mbili kwa siku(asubuhi na jioni) kwa wiki moja/mbili au mycostatin mixture,5ml mara nne kwa siku(morning,before lunch,after lunch and evening) kwa wiki mbili.
Utumie aidha moja wapo sio zote mbili kwa mpigo...nakushukuru sana,nafurahi kwa kunifumbua macho juu ya tatizo langu,aisee! ntakujulisha maendeleo yngu baada ya mwez hiv nikitumia hizo dawa.naheshimu michango yenu.
Acha kuleta upuuzi. Wewe unaona mwenzako ana matatizo ya kunuka mdomo. Kama huna cha kuandika kaa kimya. Nyamaza kimya kabisa. :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Mkuu punguza kunyonya k.....ma ndio dawa mujarabu
Mkuu punguza kunyonya k.....ma ndio dawa mujarabu
Karibu...Hapa mimi49 umetibu wengi,
God bless!
Karibu...