ugonjwa gani huu? msaada pls.

ugonjwa gani huu? msaada pls.

Nyamongo kwao

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
48
Reaction score
4
mwanangu ana utando mweupe mdomoni ukiambatana na vidonja,inadaiwa kuwa ukitokeza mkunduni haponi ng`o.
 
Naomba urudi uandike tena kwa ufasaha sijaelewa chochote ulichosema!
Huo utando mweupe wa mdomoni utokee mkunduni?
 
Back
Top Bottom