N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 4 Sep 27, 2013 #1 mwanangu ana utando mweupe mdomoni ukiambatana na vidonja,inadaiwa kuwa ukitokeza mkunduni haponi ng`o.
mwanangu ana utando mweupe mdomoni ukiambatana na vidonja,inadaiwa kuwa ukitokeza mkunduni haponi ng`o.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Sep 28, 2013 #2 Naomba urudi uandike tena kwa ufasaha sijaelewa chochote ulichosema! Huo utando mweupe wa mdomoni utokee mkunduni?
Naomba urudi uandike tena kwa ufasaha sijaelewa chochote ulichosema! Huo utando mweupe wa mdomoni utokee mkunduni?