Hiyo sio Newcastle d'seKideli.
Nunua dawa ya matone, wanyunyizie machoni, watapona kwa uharaka mno.
Mkuu; Usitake ndui ije au iwe kama ulivyosikia au unavyotaka iwe. Hapo kuna vitu viwili. Vit. A deficiency na ndui.Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na ni vifaranga wote wa umri huu, msaada please kwa anaeufahamu huenda ni mpya. picha zake hizi👇View attachment 3283647View attachment 3283648
Naongezea :Kwa uzoefu wangu naona hiyo ni ndui.kanunue dawa.Dawa zipo nyingi ikiwemo oxtetracycline 50%.Ufugaji wa kuku ukizingatia chanjo na kuimarisha biosecurity utakuwa umezuia magonjwa Kwa kiwango kikubwa.
Itakuwa manchester d'seHiyo sio Newcastle d'se
Kiongozi samahani inawezekana vipi hawa vifaranga kupata ndui angali hakuna mkubwa hata mmoja mwenye dalili hizo?Mkuu; Usitake ndui ije au iwe kama ulivyosikia au unavyotaka iwe. Hapo kuna vitu viwili. Vit. A deficiency na ndui.
Ukifungua jicho na kubinya kidogo utaona utando mweupe ulioganda chini ya kope na hivyo vidonda uvimbe baadaye hubanduka na kuacha kidonda kibichi. Kuku hatopenda kula na huwa haoni chakula kutokana na macho kuvimba/kujifunga. Infectious Coryza haiko hivo -yenyewe huwa ni mafua makali hadi kuku anashindwa kupumua na huweza kutoa kasauti fulani wakati anapumua kwa shida.
Wapake mafuta ya nazi / asali au iodineWapake mafuta ya nazi / asali au iodine
Wape dawa ya oxytetracycline
Wape maji yenye vitamin na usisahau majani kama lishe
Note . Usifuge kuku kama utashindwa wapa chanjo ya ndui , kideri na gumbolo.
Wapake mafuta ya nazi / asali au iodine
Wape dawa ya oxytetracycline
Wape maji yenye vitamin na usisahau majani kama lishe
Note . Usifuge kuku kama utashindwa wapa chanjo ya ndui , kideri na gumbolo.
Kuna dawa moja ya Kenya ina inaitwa skazoni itawasaidia piaHawa muda wa kuwapa fowlpox vaccine bado mkuu kama unavyoona
Fowl pox vaccine au tumia ile ya Tatu moja ambayo inaprevent Newcastle d'se,fowl pox na fowl corzyNiwape chanjo ya ugonjwa gani?
Dalili kubwa ya ndui inatoka vijidonda kwenye macho au mbawa.Kivipi ni ndui kaka