Ulichoelezea ni side effects ambayo ni vaccination failure which occur if the vaccine is admistered wrong/improperly and if the chicken is not healthy at the time of vaccination.Mkuu; Atakuja mwenyewe Jerry Farm kukufafanulia lakini nakushauri uridhike na alichokuambia kwamba kuku hutokea hawezi au anapata shida kuhimili virus aina tatu kwa wakati mmoja. Yan hiyo chanjo ni Live- attenuated virus i.e. imebeba kwa pamoja virusi Hai vya ndui, newcastle (mdondo/kideri) na Fowl coryza vilivyo hafifishwa nguvu/uwezo au tuseme vimenyong'onyeshwa. Kazi ya vaccine aina hiyo ni kuushtua mwili ili ujitengenezee kinga. Hapo manake kuku anapewa uambukizo (virus) makusudi halafu mwili wa kuku unatakiwa upambane navyo na kuvishinda na hivyo kujijengea uwezo (kinga) ya kupambana tena endapo kutatokea uambukizo wa virusi vya aina hiyo ambavyo ndo Uganjwa halisi. Sasa kuku huyo mmoja anapewa kwa makusudi virusi vya aina tatu kwa wakati mmoja(Chanjo) na mwili unatakiwa upambane navyo na kuvishinda. Huo ni mzigo mkubwa na katika hali hiyo kuku anaweza kuwa ni mdhaifu na hivyo huchoka na kuzidiwa na virusi alivyowekewa (chanjo)japokuwa vimehafifishwa nguvu (attenuated). Kama kuku hatoweza kuhimili kishindo cha hiyo chanjo basi anaweza kufa. Lakini hebu kuwa na subra Jerry farms atakupa kwa undani kama unavyotaka:
what is a vaccine? na explain in short types of vaccine.(Ila ujue ni somo refu) Ni hayo tu.
Sawa kabisa; na Ndo mana nikakuambia uvute subra ili Jerry Farms akija atakufafanulia ulicho hitaji. Tuko pamoja mkuu.Ulichoelezea ni side effects ambayo ni vaccination failure which occur if the vaccine is administered wrong/improperly and if the chicken is not healthy at the time of vaccination.
Concurrent d'se , immune stress
Nashkuru saana mkuu, umempatia ufafanuzi mzuri saana.Mkuu; Atakuja mwenyewe Jerry Farm kukufafanulia lakini nakushauri uridhike na alichokuambia kwamba kuku hutokea hawezi au anapata shida kuhimili virus aina tatu kwa wakati mmoja. Yan hiyo chanjo ni Live- attenuated virus i.e. imebeba kwa pamoja virusi Hai vya ndui, newcastle (mdondo/kideri) na Fowl coryza vilivyo hafifishwa nguvu/uwezo au tuseme vimenyong'onyeshwa. Kazi ya vaccine aina hiyo ni kuushtua mwili ili ujitengenezee kinga. Hapo manake kuku anapewa uambukizo (virus) makusudi halafu mwili wa kuku unatakiwa upambane navyo na kuvishinda na hivyo kujijengea uwezo (kinga) ya kupambana tena endapo kutatokea uambukizo wa virusi vya aina hiyo ambavyo ndo Uganjwa halisi. Sasa kuku huyo mmoja anapewa kwa makusudi virusi vya aina tatu kwa wakati mmoja(Chanjo) na mwili unatakiwa upambane navyo na kuvishinda. Huo ni mzigo mkubwa na katika hali hiyo kuku anaweza kuwa ni mdhaifu na hivyo huchoka na kuzidiwa na virusi alivyowekewa (chanjo)japokuwa vimehafifishwa nguvu (attenuated). Kama kuku hatoweza kuhimili kishindo cha hiyo chanjo basi anaweza kufa. Lakini hebu kuwa na subra Jerry farms atakupa kwa undani kama unavyotaka:
what is a vaccine? na explain in short types of vaccine.(Ila ujue ni somo refu) Ni hayo tu.
Sivyo, umeelewa vibaya. Kwa kifupi n kuwa mwili hauwezi kuzalisha kinga za kupambana na virusi vitatu. Punde kirusi kinapoingizwa mwilini, antibodies zitakazozalishwa n zile tu zitakazotambua aina moja ya kirusi( najitahidi kuelezea kiurahisi zaidi). Ila sasa tukianza masayansi hapa tutakua tunachanganyana.Ulichoelezea ni side effects ambayo ni vaccination failure which occur if the vaccine is admistered wrong/improperly and if the chicken is not healthy at the time of vaccination.
Concurrent d'se , immune stress
Chanjo mfu ( virusi wameuliw kabisa/ ama vimetengenezwa vitu mfanano wa virusi na 2-chanjo vivu( virusi wamefubazwa), kuanza kuelezea hapo....angalia majibu ya juuSjakuelewa point yako hasa ni ipi? Je kinachoua ni chanjo au ugonjwa?
Labda nikuulize what is a vaccine?
and explain in short types of vaccine.
Mkuu siku note, n kweli bwana...ndui inaweza kusambaa kupitia chakula. Ila ni kwa unadra saana, tofauti na majeraha. Ahsante, kwa uvumilivu.Uko sahihi sana mkuu. π
Kila antibody ni special kwa antigen fulani, lakini system ya kinga mwili inaweza kuzalisha antibodies tofauti ( multi antibodies) kwa ajili ya antigen tofauti kwa wakati mmoja, kwaiyo sio kweli kwamba tatu moja sio nzuri ila naweza kukubaliana na wewe kwanba hazina ufanisi may be during manufacturing techniques or storation au hata kipindi chakutumia * during application.Sivyo, umeelewa vibaya. Kwa kifupi n kuwa mwili hauwezi kuzalisha kinga za kupambana na virusi vitatu. Punde kirusi kinapoingizwa mwilini, antibodies zitakazozalishwa n zile tu zitakazotambua aina moja ya kirusi( najitahidi kuelezea kiurahisi zaidi). Ila sasa tukianza masayansi hapa tutakua tunachanganyana.
Chukulia mfano huu: Nnchi ivamiwe na maadui watatu kwa mpigo....ni tofauti na nnchi hio hio ishambuliwe na adui mmoja katika kustahimili mapigo na kiwatambua maadui ndani ya muda sahihi, maana uwezo wa kuwatambua maadui watatu kwa wakati mmmoja si rahisi ndivyo ilivyo na kwa mwili wa kuku.
ππKwa uzoefu wangu naona hiyo ni ndui.kanunue dawa.Dawa zipo nyingi ikiwemo oxtetracycline 50%.Ufugaji wa kuku ukizingatia chanjo na kuimarisha biosecurity utakuwa umezuia magonjwa Kwa kiwango kikubwa.
Naam umenena vyema....nadhani SUA itabidi warudie tafit yao....maana chanjo yao hii, IMETIA hasara wafugaji mamia kwa mamia.Kila antibody ni special kwa antigen fulani, lakini system ya kinga mwili inaweza kuzalisha antibodies tofauti ( multi antibodies) kwa ajili ya antigen tofauti kwa wakati mmoja, kwaiyo sio kweli kwamba tatu moja sio nzuri ila naweza kukubaliana na wewe kwanba hazina ufanisi may be during manufacturing techniques or storation au hata kipindi chakutumia * during application.
Zipo chango nyingi ambazo ni multiple na zinafanya vizuri sana.
Zipo salmonella + coryza + Newcastle, zipo Nyingi tu na hamna tatizo.
Kwa nn lakini? ππππMungu anakuona..π π
Mimi iligoma.haikuwork hata kidgTatu moja! Teh, sawa bwana.....ila kwa wafugaji wazoefu- hio chanjo ina ka UKAKASI.
Pole sana! Wacha na wengine wajaribu. Ki uhalisia hio chanjo sio.Mimi iligoma.haikuwork hata kidg
Walikufa vifaranga 57ππPole sana! Wacha na wengine wajaribu. Ki uhalisia hio chanjo sio.