Ugonjwa gani huu

Ugonjwa gani huu

puttin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
226
Reaction score
366
Habarini za leo wakuu nimepatwa na hivyo vipele takribani mwezi wa pili sasa havikui vipo hivyo hivyo vipo katikati ha kwenye mfereji wa paja na korodani
je huo ni ugongwa gani ....?
 

Attachments

  • 20170814_224304-1.jpg
    20170814_224304-1.jpg
    57.8 KB · Views: 47
Hakuna atakaekupa jibu la uhakika kwa kuiona iyo picha, nenda hospital ukafanyiwe assessment. Ila yawezekana ni kaswende (syphilis)
 
Back
Top Bottom