Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Wakuu,
Binafsi ni mtumiaji mzuri sana wa bia , kazi yangu inanifanya niwe busy muda mwingi kuna wakati hata muda wa kupata chakula cha mchana ninakosa, na mara nyingi hushindia maji ama matunda.
Tatizo ni kwamba ikiwa nimechoka sana ama nikiwa sijala chakula cha mchana kuna hali hua inanitokea na inanikera :
Wengi wetu tumewahi kuota kama unatumbukia shimoni, sasa kizungu zungu hicho hunipiga shingoni kwa nyuma (Medula Oblongata) na nikishtuka moyo unanipiga sana kiasi mwili unanisisimka.
Na hunitokea pindi nisipokunywa pombe nikiwa nataka kulala, ile naanza kusinzia tu hiyo hali hunitokea na ghafla naamka nakukaa.
Ikitokea siku sijapiga hata bia mbili ndio kabisaa hunitokea mara kwa mara, je ni tatizo gani? Moyo ama pombe? ama kutokupumzika? nafanya kazi masaa 13 Mondays to Fridays naamka asubuhi sana na kurudi saa mbili usiku..Na nikitoka Job hupitia kwa mangi kupata mbili kisha kupumzika.
Msaada hii hali imenichosha.