Matunda najitahidi sana kula
Habari, Hii siku ya tano sasa nikienda kukata gogo kwa choo harufu inayotoka si mchezo, mi mwenyewe nataka kukimbia, utadhani mfereji wa maji machafu. Jamani ni tatizo gani hili!!.
Nenda maduka ya dawa za kienyeji, ulizia sanamaki, chemsha kunywa kama chai ya rangi. Mambo swaaafi kabisa.
Ni kula bila mpangilio tu hamna zaidi.