Ugonjwa gani huu...

Ugonjwa gani huu...

NyaniMwekundu

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Nisiku ya 8 leo nasumbuliwa na tatizo la tumbo pamoja na kupata haja kubwa kidogo iliyo changanyikana na damu damu au kama asali fulani ivi pamoja na maumivu wakati wa kujisaidia.....nilikwenda zahanat wakanipa panaldo na metronidazole ambayo nimetumia muda wa siku tano na bado hali inakuwa mbaya mala choo kitoke kama nyama pamoja na damu.... Nimejaribu kuomba ruhusa nikapate matibabu nimezuiliwa ivyo basi naomba ushauri ni dawa gani inahitajika?
 
Hapo unatakiwa kwenda hospitali kwa uchunguzi na matibabu zaidi, sio kuambiwa hapa jf ni dawa gani inahitajika , kama hali hiyo ni ya kweli basi wewe mwenyewe unatakiwa kuwa makini zaidi
 
hio damu inayochanganyika na hajakubwa ni fresh au ni damu ya zamani?
 
Back
Top Bottom