Ugonjwa gani huu?

Ugonjwa gani huu?

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Kuna mzee mmoja ameniuliza swali hili lkn nikamwambia sijui,ila nitakujibu nikashajifunza kwa wataalamu,ndo nikaja humu jf,ishu ni kwamba ana muda wa siku 4 sasa kila akijisaidia haja kubwa anamalizia na kutoka damu wakati hata tumbu haliumi.


NAWASILISHA
 
Jawilat hebu njoo huku umuitie madokta wampe jbu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom